Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,080
- 1,042
Simtetei amekosea kukuita malaya. Lakini hata ww umekosea kumshirikisha mamake kwenye mambo yenu ..kwanini usingemwambia huwa mnakuwa namke wake ???nielewe baby neno mama nikubwa mno..unaambiwa mama ndo mungu wapili .haupo fair mkuu.kwanini aniite malaya?
Fanya tuonane weekend i.e. Jumapilisipo hivo mkuu
Achana na ngono, fanya kazi.Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.
Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.
Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.
Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
you dont understand my dear you dont!Simtetei amekosea kukuita malaya. Lakini hata ww umekosea kumshirikisha mamake kwenye mambo yenu ..kwanini usingemwambia huwa mnakuwa namke wake ???nielewe baby neno mama nikubwa mno..unaambiwa mama ndo mungu wapili .
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby ww unatakaje labda mm nataka kumaliza ugomvi wenu.you dont understand my dear you dont!
yameshaisha nishamsamehe mkuu nishasahau pia
Miss natafuta puliza ya moto iyoHaya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.
Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.
Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.
Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
haupo fair mkuu.kwanini aniite malaya?
usitake nitoe pm zako na picha zako hapa mkuu? dungayembe ulikuwa unalililia la nini?Dungayembe hawana bahati
do i look like am looking for somebody here my lovely baby boy?Umeitwa malaya na nani?
Hivi kweli unatafuta mwanaume au unazingua tu?
Are you lonely?
miss you ze dudu? unakiwashia wapi saa hizi?Miss natafuta puliza ya moto iyo
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Tunduma.....mjini dar soonmiss you ze dudu? unakiwashia wapi saa hizi?
Atakua fungu la kukosa huyousitake nitoe pm zako na picha zako hapa mkuu? dungayembe ulikuwa unalililia la nini?
do i look like am looking for somebody here my lovely baby boy?
Dear we potezea usiharibu siku, mbona hauko hivyo? Leo imekuwaje sweetie?wewe ndo unajua umalaya wangu ? naropoka kuhusu mama yako? iweje niwe malaya mimi mama yako asiwe? mama yako ndo alienifundisha umalaya maana yeye amekubuhu kabisa mkuu.
Tembelea gym kuna vi benten vya kufa mtu mamaHaya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.
Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.
Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.
Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
hahaha sina kumbukumbu vizuri kama nilishakuja PM yako kama vipi tuanze na nikutumie kabisa na pichausitake nitoe pm zako na picha zako hapa mkuu? dungayembe ulikuwa unalililia la nini?
Nyani mwenzangu siku hizi wengi wamejitoa mhanga wanaliwa kwa mikopo...tutaona mengi safari ni ndeefu tehUmeitwa malaya na nani?
Hivi kweli unatafuta mwanaume au unazingua tu?
Are you lonely?