Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
Isee! hii hatari yaani unataka kubemenda mtoto wa mwenzio! Wewe tu una hofu njoo kwangu mkubwa mwenzio na utaongezwa kwenye list coz kulikuwa na nafasi tatu za kujaza. Sasa wewe nakupa offer ya kujaza nafasi zote 3 zilizosalia. Kwa hiyo karibu kwenye Dunia ya Maraha
 
ahahaaa mbona wewe unabemenda?
 
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
ww f**
 
Huyu mwanamke post zake zinaonyesha yuko very stressed,

tatizo niko huku mpanda,
ningekuwa daslamu ningekusaidia maana unahangaika mno
Anaruka ruka kama panzi labda sio mzuri

maana tungemuoa hata ndoa za mitaala
 
Watu wazima walikuwa enzi za JK sasa hv anaweza akakufia kifuani bure,wana mastress hatari miaka 50 kakutwa na vyeti fake,kajenga eneo la tanroads, amefilisiwa kwa ajili ya kulipa vijisent alivyoiba enzi hizo,kinachofuata ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
Haita kuchukua muda mrefu kutambua kuwa vijana wa bongo ni mabua tu usione vifua vinatanuka na kuumuka hawana kitu hayo ni manjonjo tu bao moja hoi wengi wataishia kukupakaza shombo labda uwanunulie godolo wamejaa usingizi na uvivu wa kukeresha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Dadeq yupo form 4
Bora uruke nae tu kibishi
Maana kumusubiri hadi mwakani anaweza akapata girlfriend

Au kibaya zaidi akatusua NECTA
Na kupelekwa kigoma A-level
Ushauri.
Anza nae tu sahvi uyo dogo kumpa utamu
 
ujana wako umekula na nani..?mpaka uzee wako uje kula na vijana...??..utakula ulipopeleka mboga...bi mdashi....
 
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
Couger alert!!!! ⚠⚠⚠⚠⚠
 
Back
Top Bottom