Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

hahaha sina kumbukumbu vizuri kama nilishakuja PM yako kama vipi tuanze na nikutumie kabisa na picha
aya sijaribiwi mkuu ohooo ! aahaaa muulize diamond alichofanyiwa na dimpoz
 
aya sijaribiwi mkuu ohooo ! aahaaa muulize diamond alichofanyiwa na dimpoz
Wewe nilikutongoza ukakauka nikakuambia wanaume hawakwepeki its a matter of time tu sasa nakuita tena unaleta msimamo ule ule kiuongo uongo Hakuna anayetaka kuingia mazima bila kuonja hata wewe huwezi beba mtu pengine hawezi... ndio ukitaka kufahamu mengi lazima utembee ila ukija kwangu waeza kuwa umefika utakapo
 
Ivi hajui kutoswa napo ni SUNA

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
hajui
Wewe nilikutongoza ukakauka nikakuambia wanaume hawakwepeki its a matter of time tu sasa nakuita tena unaleta msimamo ule ule kiuongo uongo Hakuna anayetaka kuingia mazima bila kuonja hata wewe huwezi beba mtu pengine hawezi... ndio ukitaka kufahamu mengi lazima utembee ila ukija kwangu waeza kuwa umefika utakapo
mbona ulisema mwanzoni hunijui?
 
Hali ngumu sana, Magu legeza watu wanadhalilika uku.
Ana hisia nayeye mdau inabidi tumpatie Huduma tu......soon namie nitamuomba kipochi manyoya

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
mbona unalia... wahenga tupo gado...
 
Miss katika ubora wake[emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom