Nimejitolea

feis buku

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
2,342
676
wapendwa habari zenu!kichwa cha habari hapo juu chahusika, kesho 26/11/2011 saa 12 jion viwanja vya ustawi wa jamii dsm patakua na uzinduzi wa anti virus !! nimejitolea kuwalipia kiingilio wana jf woote watakaopenda kuhudhulia tamasha ilo,unachotakiwa kufanya fika kwenye eneo NImeitwa ntarudi kumalizia wapendwa.
 
Nenda vijiweni, utawapata wahuni. Hakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi.
 
Mpendwa mpendeka Feis Buku, mimi Ntakuja kwa ajili yako, usihofu. Sawa eeh!!. Usikonde basi.
 
wapendwa habari zenu!kichwa cha habari hapo juu chahusika, kesho 26/11/2011 saa 12 jion viwanja vya ustawi wa jamii dsm patakua na uzinduzi wa anti virus !! nimejitolea kuwalipia kiingilio wana jf woote watakaopenda kuhudhulia tamasha ilo,unachotakiwa kufanya fika kwenye eneo NImeitwa ntarudi kumalizia wapendwa.

umenoa kwa taarifa yako. Haf**wi mtu hapa!
 
Hakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi. Nenda mwenyewe, wanaJF hawawezi kufika hata mmoja.

ebu funga dude lako! ila muda wa kunanihii unao!!! usizisemee nafsi za wenzio,ni dalili za funza kuutafuna ubongo wako maana hujielewi!!! unabwatuka tu ka umetafnishwa mijusi!!
 
mimi ratiba yangu ipo hivi.
saa kumi kumi ntakua mzalendo pale millenium tower. saa mbili usiku ntakuwa viwanja vya posta hadi saa sita usiku. kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi ntakua maisha club. kwa hiyo fb usiumize kichwa kuhusu kunipa offer ninachotaka naomba uwe mwenyeji wangu na uwe wa kunishika mkono nisiibiwe, nataka vile vile uwe mtu wa kunielekeza jinsi ya kulala. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom