Madenti wakodi mabasi kwenda shoo ya Sugu Ustawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madenti wakodi mabasi kwenda shoo ya Sugu Ustawi

Discussion in 'Entertainment' started by mafinga kwetu, Nov 24, 2011.

 1. m

  mafinga kwetu Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Posted by GLOBAL on November 24, 2011 at 8:30am

  [​IMG]
  Baadhi ya wasanii watakaofanya makamuzi siku ya Jumamosi.
  Na Mwandishi Wetu
  SHOO ya uzinduzi wa mix-tape ya Anti Virus inazidi kubamba, upo uwezekano ikajaza nyomi ambalo halijawahi kutokea kutokana na ahadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kwamba watakodi mabasi kwenda kwenye viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama, Dar.

  Anti Virus itasababishwa na Vinega Novemba 26, 2011, kuanzia saa 12 jioni mpaka 6:00 usiku na katika kuhakikisha wanashuhudia makamuzi ya maana, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, wameahidi kukodi mabasi matatu ya kuwasafirisha kwenda kwenye shoo hiyo.

  Wanafunzi wa Tumaini Dar, wamemuandikia SMS, kinega mkuu ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakimueleza kuwa madenti wa vyuo vikuu wapo naye katika harakati za kuwakomboa wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

  “Wanakuita Sugu… Sugu… Sugu…Sugu! Kaka sisi wanafunzi wa Tumaini University ya DSM, tumeamua kukodi mabasi matatu ya UDA ili kuja katika shoo yako na Vinega hapo Viwanja vya Ustawi wa Jamii,” ilisomeka SMS hiyo.

  Mratibu wa shoo hiyo, Fred Mariki Mkoloni alisema kuwa jukwaa na muziki (sound) ni vya kiwango cha juu na kwamba kinachosubiriwa siku hiyo ni wasanii Anselm Ngaiza ‘Soggy Dog,’ Suma G, Mapacha, Dani Msimamo na wengine kibao wakiongozwa na Sugu kuwasha moto wa gesi.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  jiandaeni na majenereta ya umeme wa dharura maana si mnajua magamba walivyoshibana na clouds media ambao ni wadau wakuu wa chama twawala.............ccm...............magamba!
   
 3. O

  Obinna Senior Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo ni la msingi sana mkuu
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Da nimeckiliza leo hizo ngoma za Sugu a wenzie ni nouma
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa raha zao wakodi ma bus au fuso wanalipa wenyewe,mungu awapeleke salama na awarudishe salama ndio muhimu...
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  anti virus no apology!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  mi nataka nione zile nyimbo za matusi kama wataziimba hadharani....
   
 8. m

  massai JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wapo wasio wazalendo wataenda kwenye shoo ya yule teja alieletwa na wakwepa kodi wa clouds.tumpe sapoti msanii wa nyumbani jamani hao wamarekani washatoka hao.
   
 9. M

  Madoido Senior Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadua msihofu kuhusu generator...umeme utazibitiwa siku hiyo...tuonane ustawi..na aruta continua
   
 10. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vp alshababu hawatakuwepo??????
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wanachuo wanawaza kwenda kwenye sho za wahuni.
   
Loading...