feis buku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 2,341
- 677
- Thread starter
- #41
yametimia,aibu zimewafika yamewashuka!!!!! mkomeee !!Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!