Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,586
Ni mda sasa huyu jamaa kashatutoka akilini...
Hata mada zake kidogo zimesimama...
Je hukumu ilishatoka au ndio zile zetu kibongo bongo tuna switch mada..?
Kama bado hukumu, vipi mada yake imetekwa na ipi..?
Zingatia jamaa alivyowapa watu headlines hususan kwa Wanaume wa Dar....!