Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Nimejiondoa rasmi CHADEMA

kesho namwaga uchafuwote wa lema kahaba wake rose walivyokuwa waafanya hapa kagera
 
mkuu sixgates,si ulisema utawashawishi kanda yako nzima wahame chadema sasa mbona unajipinga mwenyewe eti ni binafsi na hujasukuma mtu?

Nlisitisha. Nimewaomba wafanye maamuzi yao binafsi. Sikushawishi mtu, ila wapo waliosema watfuat nyayo zangu nimewakaribisha. Wapo waliosema watapambana ndani ya chama, nimewasifu.
 
Last edited by a moderator:
Wakati unajiunga hukutueleza, iweje leo unajitoa ututangazie? Nenda tu kimya kimya, salam zao!!!!
 
Kazi iliyotukuka ya Zitto Kabwe ambaye hata kukaa bungeni anaona aibu! Guilt counciousness.
 
Wewe inawezekana uko makao makuu ya chadema Kinondoni.

Pesa zote za ruzuku zinaishia Kinondoni. Wilaya hazipati hata shilingi za kujenga chama, watu wanajitolea. Kinachosikitisha ni kwamba watu hawa wanaojitolea wakitoa maoni juu ya mwenendo wa chama hawasikilizwi.

Vijana ndani ya chadema wanatumika kama miili ya maandamano tu...

kuna waliouza migodi yetu,wakauza twiga,wanakula jasho letu kupitia kodi zetu,wakadokoa na hazina,nchi wameiweka reheni kwa madeni yasiyolipika bado wameshindwa walau kuchimba visima vya maji kwa matumizi ya watu wao,karne ya 21 bado watanzania wanatumia maji sehemu moja na punda ng'ombe,mbwa nk.Kama huamini muulize naibu katibu mkuu wa CCM! Kwa sababu ya ujinga wako yote hayo huyaoni umekalia majungu ili upate kula.
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Maamuzi mazuri, ondoka go back to where you belong.
Chadema hakuna mwanya Wa wababaishaji wala vibaraka
 
Naona ulichokuwa umetumwa kimeshindikana....pole sana,wasalimie magamba wenzio huko uendako
 
Mtajichuja masalia wote mpaka muishe,tutawabana kwenye tundu jembamba mpaka mkose pumzi..
 
Chadema Msijidanganye Kwa Kudhani Siasa Ni Mitandaoni Tu! Imarisheni Chama Nje Ya Mitandao, Maana Mitandao Haipigi Kura Hata Siku Moja. Mnang'ang'ana Na Siasa Nyepesi Na Hafifu Ilhali Wapiga Kura Wanazidi Dhoofika Kwa Kukosa Weredi. Mlianza Vizuri Na Kuvuta Hisia Za Wengi Leo Hii Mmebadilika Na Kuwa Genge La Wahuni Na Wavivu. Hii Rejea Ya Maandiko Matakatifu Yasemayo " Nilikuumba Ukiwa Mzabibu Mwema, Lakini Sasa Umebadilika Na Kuwa Mzabibu Mwitu". Vivyo Hivyo Chadema Ilianza Vema, Leo Hii Imekuwa Pango La Wanyang'anyi Na Wahuni Wasioshabihiana Na Jina La Chama.
 
kesho namwaga uchafuwote wa lema kahaba wake rose walivyokuwa waafanya hapa kagera

ukimaliza na mimi naweka wa JK na Mary Mwanjelwa! Na mtoto waliozaa na pia hadi mume wake mwanajeshi alivyoamua amwache mtoto.
 
Na wenyewe ndiyo sisi Wachaga.

Hatuogopeshwi na fikara fupi za mtindio wa akili, kama Mbowe kuwa M/Kiti na Mtei kuanzisha chama ndiyo kimekuwa cha wachaga basi tumekwisha.
TANU ilianzishwa na Mzanaki, hakikuitwa chama cha Wazanaki wala cha Wakaskazi hivyo huo udini wako na ukabila wako hautuumizi akili.
Wenye CDM ni Wanamagwanda wenyewe. Weye hutupi shida 2015 ni kesho tu, tutajua kaskazini au kusini, huko ambako hawalali ndani ya nyumba zao kwa kuogopa kipigo. Tafuta njia ya kuwashauri viongozi wako acha kukimbilia buku 7
 
Back
Top Bottom