Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Nimejiondoa rasmi CHADEMA

ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Kumbe ulijiunga Chadema 2010? Wenzako tuko tokea 1995 sijui kama ulikuwa umeshazaliwa. Anyway inaonekana ulikuwa unafuata kuona helkopta na kuona kundi kubwa la watu kila mkutano wa Chadema unapofanyika. istoshe malezi uliyopata kutoka kwa bibi yako yanakufanya utapetape kama uliyetumwa ugoro. Kila la kheri.
 
Wewe huna akili soma sheria na kanuni za JF wacha kukurupuka, wewe ndio unastahili kupigwa ban kwa uzushi hapa JF.

Kwa taarifa yako IP adress yako unayotumia inajurikana na wenzako wanakuchora unavyojitekenya na kujichekesha.

Sasa muombe huyo Paw wako ruhusa nikutaje jina lako hapa na namba yako ya simu niiweke hapa.

Usijaribu kucheza na mimi hata dakika moja utahadhirika.
Khaah.! Kuna watu mna mikwala ni balaa
 
Nenda but remember ucrudi ulikotoka.alafu naona kama mmealikana kuleta vapour ili gambazi wawasuport so even ourselves we say go,go!go......yaaani nendeniiiiii.
 
....

...chadema chama makini kazi tumemaliza!!!!

cc wahanga 2014 2015....
 
Unamwambia nani umejiunga na chadema tangia mwaka 2010? muulizie mbowe amekitoa wap chama? nenda zako hauna lolote
 
Hii ni plani mpya ya kutoka lumumba ya kushinikiza uchaguzi chadema ili mh. Zubeda kabwela awe mwenyekiti. Mimi nasema mtapigwa tu.
 
Acha unafiki wako wewe buku 7 AKA Punda wa mafisadi, wauza unga, majangili na magaidi. Hujawahi hata kwa sekunde moja kuwa mwanachama wa CHADEMA. Nimeyapitia mabandiko yako yote yanathibitisha unafiki wako wa kudanganya watu eti unajiondoa CHADEMA. Pumba zako peleka kwingine.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha......!
 
hahaha BAK wamesahau uktaka kuwa muongo uwe na kumbukumbu....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanashusha hadhi ya JF kwa kiwango cha kutisha na cha kushangaza hizi threads muflisi zinaachwa tu kuendelea kuwepo. Pumbaf kabisa msonyo mrefu.

hahaha BAK wamesahau uktaka kuwa muongo uwe na kumbukumbu....
 
hongera kwa kujitambua

ila kwa ufahamu wangu, sidhani kama wewe una any significancy hata nyumbani kwako tu
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Ni haki yako ya Kikatiba kujiunga na chama chochote cha siasa! Huna haja ya kututangazia! Nenda kwa amani!
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.

Chama kinachojiita cha demokrasia hakiwezi kuficha hesabu za mapato na matumizi...

kama ukijiunga na chama cha siasa kwa maana ya kutafuta ajira! Hakika utakuwa wa kwanza kugusa hesabu za fedha na kutaka kujua jua wapi hela ipo ndani ya chama! Sasa kama kweli CAG na Msajili wa vyama wana power ya kutoa order, then walikuwa wapi kuwapa Offence Chadema I mean Hati ya Makosa kwa kushindwa kuwasilisha mahesabu! Funguka wewe, open Up ur mind, hizi ni propaganda! Fikiria nje ya boksi!
 
watoto wanatumika vibaya mpaka hata ukweli hawauoni..
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Kwenye revolution usitarajie utapata faida, kama ulitarajia kupata faida nenda kwa wauza sembe, kwenye revolution anayepata faida ni mnyonge ila huko uendako siyo. Haki haipatikani kwa kuimba majukwaani tu bali na vitendo pia. wewe endelea kutafuta maslahi siku ya mwisho utatumiwa kama chombo ili upate unachotaka.
 
Back
Top Bottom