Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Nimejiondoa rasmi CHADEMA

huwezi kuikomboi nchi kwa namna hyo,nenda kwa magamba wenzako
 
Hongera sana. Umejikomboa.
Huyu ni gamba hajawahi kuwa Chadema, soma maandishi yake alikiri kuwa yeye ni CCM damu na natoka ......mmajitekenya na kujipongeza wenyewe....duhhh

najua wengine wataanzisha I'd mpya na kusema wamejitoa ....
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Wewe ndo kundi la sixgate ehhh...Tunataka na kadi yako...Halafi ita na press conference kabisa..
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndo kundi la sixgate ehhh...Tunataka na kadi yako...Halafi ita na press conference kabisa..

Mkuu tedo simfahamu huyu. Mimi nimetoa maamuzi binafsi. Sijamsukuma mtu.
 
Last edited by a moderator:
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

rudi magambani!ce 2tabanana hapa hapa kwa vyvyte vile
 
salumu mitema
31st July 2013 18:49 #21
Member
Array
Join Date : 7th May 2013
Posts : 59
Rep Power : 338
Likes Received
11
Likes Given
34
Re: CCM tunaomba uwazi wa ripoti ya mapato na matumizi ya fedha
c cm damu na siami

Mkuu asante sana na umemaliza kila kitu.kumbe ni gamba!. Hutaniona tena nachangia huu u.p*mb*vu wa salum @mitema.
 
Last edited by a moderator:
Umechelewa sana kukifahamu hiki chama,mie toka 2011 nilishaachana na hiki chama baada ya kutambua ufisadi uliomo ndani ya Chadema.Ata hivyo siku chama kikikatwa na watu la Baregu,Kitila Mkumbo au Zitto nitafikiria kurudi tena.
 
Mwanaume anaekata kata tama anamatatizo
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

haka kaproject ka buku 7 lumummba kanaelekea kufail hivi! mtaishije??
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.

Chama kinachojiita cha demokrasia hakiwezi kuficha hesabu za mapato na matumizi...

Kumbe ni weye! Kila kukicha, unachowaza ni pesa tu. Unajua kuwa kama utaleta chokochoko ya kifedha utaungwa mkono. Nakuambia kuwa CDM hatuna haja na mapato na matumizi kwani tunaamini kuwa viongozi wetu si waroho nazo kama magambas, mpaka mnamaliza twiga na tembo ili kupata hiyo hela! Lo! Sisi zetu ni kuchangiana kwa ajili ya mafuta ya chopa letu nyie mwajinyakulia tuu huko EPA na Richmond na Hongkong. Mbona hamuulizi mapato na matumizi yake??
We tulia tu.
Huyu aliyesema kajiondoa na aende tuuu. Hatujamwita kuja alijileta mwenyewe na ajiondoe mwenyewe yeye si CDM na CDM ina wenyewe
 
poleni sana kwa mateso uliyoyapata toka mwaka 2010 hata ivyo una roho ngumu, naona umegoma kuwa msukule.

Cc: faizafoxy zemarcopolo

no delivarance no forgiveness
aende kwa gwajima akapate delivarance kwanza ndio anaweza hamia hata ccm else akienda kokote anahama na mat
 
Haya ndio matunda ya Godbless J Lema.

Najua watakudharau nakuona huna faida yeyote lakini watasahau kuwa wamekuwa wakiamini muwa jf kuna wanachedema.

lakini time will tell.

cc Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom