sixgates, huo ni uamuzi wa busara sana. Ikiwa chama kinachojiita cha demokrasia kinawawajibisha na kuwasuta wanachama wake, hauna faida kubaki huko.
Chadema ni usanii mtupu, waliopo madarakani wote, wapo kimaslahi zaidi. Wameifanya chadema kuwa saccos yao binafsi na ma "indigo walk"ins wanatemebezewa bakuli kila mkutano. Hawaoni zinavyowaneemesha viongozi wao?
Pale katika uongozi amma ukubali cheo jina lakini usishiriki kabisa katika uongozi,kama ilivyo kwa Arfi, amma ukubali kuitwa msaliti kama ilivyo kwa Mwigamba na sasa Zitto.
Nakusifu kwa uamuzi wako nna uhakika na misukule wengi wengineo watafata nyayo zako