Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Nimejiondoa rasmi CHADEMA

mamluki mnaanza kusanda baada ya kuona mmestukiwa,kwendraaaaaaaaaaaaa
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Sisi tupo 10 tuliojiunga CHADEMA leo, na bado nina mpango wa kuingiza kiasi kama hicho mara 5 kabla mwaka huu kuisha. Kulumbana ndio kukua kwa chama. hata miti hugongana sembuse watu
 
ni vipofu tu ambao hawaoni mapungufu ya viongozi wetu (mbowe na slaa) MALIPYOTO
 
well done mkuu tuko nyuma yako,acha wajidanganye kwamba wanapendwa,na wafanye mambo ya kijinga kumbe chama kishakufa bado kuzikwa tu.hakuna mtu mwenye akili timamu na muumini wa demokrasia ya kweli atachekelea hii democrazy ya chadema.lakini nawashauri makamanda wengine unapotaka kutoka ktk chama kwa kuchukizwa na ujinga unaoendelea hakikisha unaacha ufa nyuma yako ili athari zitazotokea ziwagharimu.
 
Sisi tupo 10 tuliojiunga CHADEMA leo, na bado nina mpango wa kuingiza kiasi kama hicho mara 5 kabla mwaka huu kuisha. Kulumbana ndio kukua kwa chama. hata miti hugongana sembuse watu


Huko hakuna kulumbana huko mnashutumiana!!!!!
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.

Chama kinachojiita cha demokrasia hakiwezi kuficha hesabu za mapato na matumizi...

Mie si mbumbumbu, am reasonably educated (at masters level), nimeshaajiriwa hadi nje ya nchi yetu, sihitaji favour ya mtu ama ili niishi au nipate ajira AND AM PROUDLY CHADEMA MEMBER! Sihitaji cheo ndani ya chama wala sina sababu ya kuwa mwanachama ili niwe na cheo AND AM A PROUD CHADEMA MEMBER!
 
Wewe inawezekana uko makao makuu ya chadema Kinondoni.

Pesa zote za ruzuku zinaishia Kinondoni. Wilaya hazipati hata shilingi za kujenga chama, watu wanajitolea. Kinachosikitisha ni kwamba watu hawa wanaojitolea wakitoa maoni juu ya mwenendo wa chama hawasikilizwi.

Vijana ndani ya chadema wanatumika kama miili ya maandamano tu...


Nipo kijijini nalima nyanya huku napambana na majangili ,mafisadi wa nchu hii na ni kiongozi wa chama wa jimbo,ruzuku ya chama tunapata vizuri na mapambano yanaendelea.
Kama ulifuata helicopiter lazima uondoke na malori ya ccm.cdm wanaishi wagumu na wazalendo wa kweli na hakuna malipo huku
 
ni vipofu tu ambao hawaoni mapungufu ya viongozi wetu (mbowe na slaa) MALIPYOTO

wapuuzi wachache na laiti wangeona reaction ya wanachama huku mikoani wasingeendelea kung'ang'ania viongozi wasio waadilifu kama hawa kina slaa.nyamafu kabisa hawa waluga luga.
 
Back
Top Bottom