Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Nimejiondoa rasmi CHADEMA

Utakuwa huna la kuchangia hembu angalia mwezi may ni mpya huyo
Mipango mingine ya kitoto kweli, yaani mpaka wiki iishe kutakuwa na watu wanajisajili kila siku na kuandika kuwa wanajitoa Chadema ......wengine hata hapa jamvini ukiangalia waliowahi kuandika kitu gani chenye substance huwezi kukuona , ila wanafikiri na wao ni w u muhimu ...........mipango ya kitoto kama ule mchezo wa KOMBOLELA ....
 
Karibu ccm. Huku tunaponda raha kwenda mbele. Sasa tumia ID yako vizuri hapa jf kuitangaza vyema ccm. Kwa maelekezo mengine nitakupm. Bomoa chadema sasa.
 
Ukishakuwa mfuasi wa chadema ia maana una upungufu wa kinga kichwani
 
kama ukijiunga na chama cha siasa kwa maana ya kutafuta ajira! Hakika utakuwa wa kwanza kugusa hesabu za fedha na kutaka kujua jua wapi hela ipo ndani ya chama! Sasa kama kweli CAG na Msajili wa vyama wana power ya kutoa order, then walikuwa wapi kuwapa Offence Chadema I mean Hati ya Makosa kwa kushindwa kuwasilisha mahesabu! Funguka wewe, open Up ur mind, hizi ni propaganda! Fikiria nje ya boksi!
Ndio mnavyowapumbaza wananchi na wanachama wenu ili muachiwe nafasi ya kuiba kwa utulivu?
 
ndiyo ,nimejiondoa
kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi
wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn
sasa mhhhh

We ni kama takataka tu ndani ya bahari, hata usingejiondoa ungeondolewa na bahari yenyewe!
 
Mlango ulioingilia ndiyo uliyotokea.Labda kwa ufupi,waweza kueleza mangapi mazuri uliyoyafanya ukiwa huko.Nilitegemea uwe unalytical siyo nimejiondoa tu.Besides,wanaoingia na kutoka ni wengi kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Huyu jamaa anafanya watu hawana akili.
Hizi ni baadhi ya posts zake alizopost huko nyuma.
Zote alipost alipost July 2013.
Leo amejifanya yeye ni chadema anajiondoa. Mods kuweni makini na watu kama hawa.
c cm damu na siami
yaani ninavyokupenda mwigulu ni hapo tuu..ww ni mkweli sana..ningekuwa na dada ningekupaa..asante kamadaaaa
 
Usikonde mkuu huyu jinga namjuwa vyema kwa jina lake halisi na namba yake ya simu. Kaa kwenye hii thread usiondoke subiri uone wanafki huwa tunawakomesha vipi.

Pamoja Mkuu
 
Huyu jamaa anafanya watu hawana akili.
Hizi ni baadhi ya posts zake alizopost huko nyuma.
Zote alipost alipost July 2013.
Leo amejifanya yeye ni chadema anajiondoa. Mods kuweni makini na watu kama hawa.

Atakua ni member wa Buku 7 halafu anajifanya kamanda!!
 
Wanashusha hadhi ya JF kwa kiwango cha kutisha na cha kushangaza hizi threads muflisi zinaachwa tu kuendelea kuwepo. Pumbaf kabisa msonyo mrefu.
ngoja nikusaidie kulivuta mscheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew!!!!!!
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Nenda salama.............. Ulidhani kuna kuganga njaa huko?
 
Na kupa pole kamanda leo umetizama vichwa vya chadema vinavyo fanyakazi bungeni?
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Wasalimie, tutaweka tanga ndugu tu
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Muone mzee wa kanuni ya 64 akupe dili ya kusafirisha sembe...
 
Back
Top Bottom