Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Habari Wakuu

Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje?

Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta kila mmoja anampenda mwenzake ingawa hatuambiana hisia zetu.

Baada kupita miezi kadhaa nikakubaliana nae tukutane ndipo tukakutana sehemu kila mmoja alikuwa anajua anapenda mwenzake so haikuwa na haja ya kumwaga sera zaidi kumjua mwenzake mazingira yake.

Yule manzi ndipo akafunguka kwangu kwamba yeye ameolewa sema ametengengana na Mumewe kutokana na migogoro fulani ila hakuniambia ni migogoro ipi au Mambo gani na akasema kwasasa hawapo pamoja yeye yupo kwao na Mumewe kwake akaniuliza je ungependa kuwa na mimi?

Binafsi nilishangaa sikuamini kwamba aliolewa ila kwasababu nimependa na ameshaniambia hayupo Tena na Mumewe nilikubali kuwa na mahusiano.Kwanza nilichopenda kutoka kwake ni kitendo chake Cha kuwa mkweli, ni manzi mzuri sana lakini pia tabia yake inanivutia alafu anaheshima ya hali ya juu.

Baada ya Muda kupita mahusiano yetu ya kawa moto, tukatengeneza chemistry nzuri na trust each other ndipo kidogo kidogo yule manzi akawa anafunguka mambo ya Mumewe yaliyomchosha aliniambia vitu vingi ila nitazungumza baadhi na mpaka akanioneshea picha ya Mumewe na kiukweli yule mtu nilikuwa namjua baada ya kunionesha binafsi nilistuka ila nikavunga kama simjui maana nakumbuka jamaa niliwahi kwenda kuomba kazi kwenye kampuni yake na kiukweli jamaa ana hela ile mbaya.

kwanza akaniambia yule Manzi hana furaha ya ndoa yake lakini Namshukuru Mungu nimekupata wewe (Ambaye ni Mimi) amefufua furaha ambayo ilipotea akasema Mumewe hata tu bando tu hampi, mlevi Sana akisharudi anaigwa kipigo Cha mbwa koko, hata zawadi yoyote ile hajawahi kuumpa kama ninavyofanya mimi, anamfanyia udhalilishaji mkubwa analeta michepuko na analala nao kwenye kitanda ambacho yeye na Mumewe wanalala wote, anapelekwa kwa mama mkwe wake anafanyishwa makazi mengi ingawa anaumwa na kulala kwenye banda la mbwa na Mumewe yote hayo anaona na anasapoti n.k

vitu alivyokuwa akaniambia yule Manzi dah inanifanya sometimes nisiamini cos yule Mumewe alivyo, ukwasi alionao inakuwa ngumu kuamini ni kaja kuamini siku ambapo huyo manzi alivyonialika kwao pamoja na marafiki zake siku ya christmas ambapo Mumewe alikuwa gafla bila taarifa na tukawa nae pale wakati wa chakula yule Manzi akawa atupelekea chakula bahati mbaya akadondoka na chakula alichokibeba kikadondoka na alichunika kidogo kwenye vidole vyake damu zikaanza kutoka cha ajabu yule Mumewe akaenda kumuwasha makofi mengi na kuanza kusema sisi wengine wote tunamshuhudia Tena si kwake kwa mama mkwe wake anafanya hivyo je angekuwa kwake ingekuaje?

Bahati nzuri siku Hilo Wazazi wa yule binti hawakuwepo.Nikaja kujua binti aliolewa na mtu sio sahihi ila kiukweli yule Manzi ni mtu na nusu yupo full package mzuri ile mbaya, anatabia nzuri binafsi ananipa upendo wa hali ya juu ni ngumu sana kumkuta binti mzuri alafu akawa wife material, ni mwanamke ambaye kwanza haombi ombi ovyo hela Ukiona kakuomba ujue ana shida haswa.

nikaja kujua zaidi ni kwamba hata mwili wake si wake halisi ni kwasababu ya kukosa furaha, amani ndani ya ndoa yake maana baada ya kurudi kwao alininenepa kidogo,akawa ana shape kali na akawa mzuri sana tofauti kipindi yupo kwa Mumewe alikuwa mwembamba Sana, hana shape japo Mumewe ana hela Sana.

Ushauri wangu kwa wadada

Huyu mpenzi wangu si mlaumu kabisa kwanini kapata muwe wa aina hii kwasababu kaolewa akiwa mdogo, hajapitia mahusiano ya uboyfriend angalau ungempa uzoefu wa Wanaume huyo Mumewe ndio alimtoa bikra.

Amejaribu pia kufanya process za divorce zimeshindikana si unajua ni ndoa ya kikristo
tuje kwenye key point wadada msipende kukimbilia ndoa eti kwasababu ya maisha yamekupiga, pressure za ndugu au tu umepata fursa ya kuolewa bila kuangalia aina gani ya mwanaume unayeingia nae kwenye ndoa, Ndoa siku zote haina shida na bless ya MwenyeziMungu kuna vitu vingi vya msingi lazima uzingatie kabla hata ujakubali kuolewa na mtu

1. Je huyo mtu ana moyo safi?

2. Ana kuthamini?

3. Anakupenda?

4. Anakujali?

5. Anakuheshimu?

shida ya wadada wengi wanateseka kwenye ndoa kwa kuangalia mambo kwa tamaa zao binafsi anaangalia material things bila kujua yupo mtu yukoje?
Nimeishia hapo kwenye kulazwa Banda la umbwa

Kimsingi mwanamke mwanamke Ana njia nyingi ya kukudanganya na wee ukaingia kingi

Take care marinda yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo yako yote hayo yanaonesha wewe ni mgeni wa hawa viumbe.
 
Someone's wife is a no go zone. Seems you have little experience with women.

Women are manipulative in nature, and in this case you are already manipulated.

From this story of yours nothing is wise, Man up.
Bora umamwambia
 
Wacha ujuaji ww kula vyako kwa sasa basi ila kuleta ujuaji na kujifanya unajua kushauri ni uboya

Uyo ni mke wa mtu na alokueleza ni kwa upande wake na kakueleza kwa kujifanya yeye ni victim kwaiyo kula mzgo wako kwa sasa mengne mwachie yeye na mmewe
 
Habari Wakuu

Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje?

Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta kila mmoja anampenda mwenzake ingawa hatuambiana hisia zetu.

Baada kupita miezi kadhaa nikakubaliana nae tukutane ndipo tukakutana sehemu kila mmoja alikuwa anajua anapenda mwenzake so haikuwa na haja ya kumwaga sera zaidi kumjua mwenzake mazingira yake.

Yule manzi ndipo akafunguka kwangu kwamba yeye ameolewa sema ametengengana na Mumewe kutokana na migogoro fulani ila hakuniambia ni migogoro ipi au Mambo gani na akasema kwasasa hawapo pamoja yeye yupo kwao na Mumewe kwake akaniuliza je ungependa kuwa na mimi?

Binafsi nilishangaa sikuamini kwamba aliolewa ila kwasababu nimependa na ameshaniambia hayupo Tena na Mumewe nilikubali kuwa na mahusiano.Kwanza nilichopenda kutoka kwake ni kitendo chake Cha kuwa mkweli, ni manzi mzuri sana lakini pia tabia yake inanivutia alafu anaheshima ya hali ya juu.

Baada ya Muda kupita mahusiano yetu ya kawa moto, tukatengeneza chemistry nzuri na trust each other ndipo kidogo kidogo yule manzi akawa anafunguka mambo ya Mumewe yaliyomchosha aliniambia vitu vingi ila nitazungumza baadhi na mpaka akanioneshea picha ya Mumewe na kiukweli yule mtu nilikuwa namjua baada ya kunionesha binafsi nilistuka ila nikavunga kama simjui maana nakumbuka jamaa niliwahi kwenda kuomba kazi kwenye kampuni yake na kiukweli jamaa ana hela ile mbaya.

kwanza akaniambia yule Manzi hana furaha ya ndoa yake lakini Namshukuru Mungu nimekupata wewe (Ambaye ni Mimi) amefufua furaha ambayo ilipotea akasema Mumewe hata tu bando tu hampi, mlevi Sana akisharudi anaigwa kipigo Cha mbwa koko, hata zawadi yoyote ile hajawahi kuumpa kama ninavyofanya mimi, anamfanyia udhalilishaji mkubwa analeta michepuko na analala nao kwenye kitanda ambacho yeye na Mumewe wanalala wote, anapelekwa kwa mama mkwe wake anafanyishwa makazi mengi ingawa anaumwa na kulala kwenye banda la mbwa na Mumewe yote hayo anaona na anasapoti n.k

vitu alivyokuwa akaniambia yule Manzi dah inanifanya sometimes nisiamini cos yule Mumewe alivyo, ukwasi alionao inakuwa ngumu kuamini ni kaja kuamini siku ambapo huyo manzi alivyonialika kwao pamoja na marafiki zake siku ya christmas ambapo Mumewe alikuwa gafla bila taarifa na tukawa nae pale wakati wa chakula yule Manzi akawa atupelekea chakula bahati mbaya akadondoka na chakula alichokibeba kikadondoka na alichunika kidogo kwenye vidole vyake damu zikaanza kutoka cha ajabu yule Mumewe akaenda kumuwasha makofi mengi na kuanza kusema sisi wengine wote tunamshuhudia Tena si kwake kwa mama mkwe wake anafanya hivyo je angekuwa kwake ingekuaje?

Bahati nzuri siku Hilo Wazazi wa yule binti hawakuwepo.Nikaja kujua binti aliolewa na mtu sio sahihi ila kiukweli yule Manzi ni mtu na nusu yupo full package mzuri ile mbaya, anatabia nzuri binafsi ananipa upendo wa hali ya juu ni ngumu sana kumkuta binti mzuri alafu akawa wife material, ni mwanamke ambaye kwanza haombi ombi ovyo hela Ukiona kakuomba ujue ana shida haswa.

nikaja kujua zaidi ni kwamba hata mwili wake si wake halisi ni kwasababu ya kukosa furaha, amani ndani ya ndoa yake maana baada ya kurudi kwao alininenepa kidogo,akawa ana shape kali na akawa mzuri sana tofauti kipindi yupo kwa Mumewe alikuwa mwembamba Sana, hana shape japo Mumewe ana hela Sana.

Ushauri wangu kwa wadada

Huyu mpenzi wangu si mlaumu kabisa kwanini kapata muwe wa aina hii kwasababu kaolewa akiwa mdogo, hajapitia mahusiano ya uboyfriend angalau ungempa uzoefu wa Wanaume huyo Mumewe ndio alimtoa bikra.

Amejaribu pia kufanya process za divorce zimeshindikana si unajua ni ndoa ya kikristo
tuje kwenye key point wadada msipende kukimbilia ndoa eti kwasababu ya maisha yamekupiga, pressure za ndugu au tu umepata fursa ya kuolewa bila kuangalia aina gani ya mwanaume unayeingia nae kwenye ndoa, Ndoa siku zote haina shida na bless ya MwenyeziMungu kuna vitu vingi vya msingi lazima uzingatie kabla hata ujakubali kuolewa na mtu

1. Je huyo mtu ana moyo safi?

2. Ana kuthamini?

3. Anakupenda?

4. Anakujali?

5. Anakuheshimu?

shida ya wadada wengi wanateseka kwenye ndoa kwa kuangalia mambo kwa tamaa zao binafsi anaangalia material things bila kujua yupo mtu yukoje?
Pumbavu wewe. Kumbe una mahusiano na mke wangu. Nitakuonyesha kijana. Huyo mwanamke kakudanganya vitu vingi kunihusu ili aweze kuwa na justification ya kutembea na wewe. Kakwambia mabaya yangu, na ya kwake amekwambia?Unadhani yeye ni malaika eeeh?
Sasa nitakachokufanyia, hautaweza kusahau, utajua gharama ya kula mali yangu.
Mbona hujasema pia anavyokupa pesa na kukulea kwa pesa ninazompa mimi? Yaani unanit*mbea mke, na pesa zangu anakupa na bado unakuja kunisimanga hapa.
Nitakachokufanya uje kuhadithia pia hapa. Itakua fundisho kwa wapenda vya watu.
Nimeshafahamu nyendo zako.
 
Kwanza afa ufala wa kutembea na mke wa mtu.
Pili usiamini machozi ya mwanamke zaidi ya mama yako.

Tatu siku hizi watu wanaishi mjini kwa akili
usikute huo ni mchezo ulio ratibiwa kwa ustadi mkubwa sana na huyo mwanamke na mmewe wanasubiri uingie kwenye 18 zao wakuchonjoe vimali vyako vyote ubaki kapuku.
Zinduka acha ufala.
 
Asante sana kwa darasa, ila mahusiano naye(mke wa mtu) hayamsaidii huyo shemeji yako hata kidogo na si salama kwako.
Usidhani una msaada ama upendo mkubwa hivyo kwa mke wa mtu.
Na tena usifikiri kwamba huyo shemeji yako eti ni mzuri hivyo mithili ya malaika, hapana, anafanya masahihisho kwako kwa yale aliyokosea kwa mumewe.
Kuwa makini!
 
Kama bado hawajaachana rasmi kwa talaka achana na huyo mwanamke. Na wewe kua nae ndio utachelewesha huo mchakato wa wao kupeana talaka
 
Back
Top Bottom