Sasa unaficha kitu gani jamani?Haya jambo wakati mwingine cjui huwa watu wanayapelekaje. Nadhani kuna usiri flani watu huwa wanaweka.
Asee tusiombe kukutana na hyo hata kwa bahati mbaya. Cz utajiona huna thaman hapa duniani.kuna familia zina mambo ya ajabu sanaaaa af wanawake ndo huwa tuna matatizo wanaume hawana shida eti, ndo mana tunaambiwa tuchunguze na familia za wenza wetu ili kuepuka udhalilishaji kama huo. Sipati picha naenda ukweni navoanza kunyambuliwa sasa weeeee
Ha ha eti vidole vya miguu na masikio. Yani nimevuta picha kama naona wanakaguaHahaha kuchambuliwa mbona jiandae tu lol. Seriously wanawake ndo huwa tuna matatizo zaidi na mahusiano ya ndugu zetu. Hiyo familia ndo binti unapelekwa Hehehe utakaguliwa hadi vidole vya miguu na masikio, yani sipati picha. Inahitaji moyo sana
Asante kwa kunipa courage ndugu!Jitahidi tu kuwa real. Kingine cha muhimu omba tu kwa Imani yako Mungu akupe "KIBALI" huko unapoenda. As far as navyojua, huwezi ukamuimpress kila mtu, unaweza ukadhani ukifanya A ndo watanipenda kumbe ndo wasikupende kabisa. Wewe nenda tu na kibali cha Mungu, utashangaa unafika unapokelewa kwa upendo + kukubalika hadi hutoamini. Kila la kheri mwaya
Weee kuna familia ni tatizo.Ha ha eti vidole vya miguu na masikio. Yani nimevuta picha kama naona wanakagua
hahaha umenikumbusha kuna rafk yangu alimuweka girlfriend wake dp whatsap bwana bwana Dada yake si akamuona weeeee yalimtoka maneno hatari mwanamke gani uyo, tumbo lote hilo unapeleka wapi , cheki miguu yake atakuharibia watoto kabisaaa mbona kabaya ivo mama nae akaunga, he he mwanamke gani yani kwangu usimlete kabisaaa.. Alikoma yule kaka maskiniHahaha kuchambuliwa mbona jiandae tu lol. Seriously wanawake ndo huwa tuna matatizo zaidi na mahusiano ya ndugu zetu. Hiyo familia ndo binti unapelekwa Hehehe utakaguliwa hadi vidole vya miguu na masikio, yani sipati picha. Inahitaji moyo sana
mkuu umemaliza maana hauendi kuoa ukoo wake,unaenda kumuoa mwanamke wako..Ni vizuri ukawambia huna kitu kabsaaa ili isiwe rahisi kubeba mzigo wa Kulea mashemeji
Yeahh yaan kwenda ukweni kichwa kichwa ni upuuzi kwa nini mtu asifanye ujanja uwajue vizuri wengi wao hata kama sio wote kabla ya kwenda..
Mbona simple sana kama una mpango naye zile out out haina shida leo kaja na mdogo wake kesho na binamu zake unawapigisha misosi kama wanalewa poa na transport uhakika mpaka kwao kaka zake kama sio wakuda sana unawalinda linda kihivyo
Siku official ukienda kwao mbona wanatamani umchukue siku hiyo hiyo kila mmoja anajidai anakujua wanaleta story nyingi wewe unacheki mission na vission yako hapo hahah
Duuu maskini, hapo kinachofata ni hisia kali na chozi asee!hahaha umenikumbusha kuna rafk yangu alimuweka girlfriend wake dp whatsap bwana bwana Dada yake si akamuona weeeee yalimtoka maneno hatari mwanamke gani uyo, tumbo lote hilo unapeleka wapi , cheki miguu yake atakuharibia watoto kabisaaa mbona kabaya ivo mama nae akaunga, he he mwanamke gani yani kwangu usimlete kabisaaa.. Alikoma yule kaka maskini
Hahaha nyie wanawake tuna kazi jamani. Hadi mtu afikie kukupeleka kwao officially ni shughuli, bado ufike kule waseme "hatujampenda" khaa. Me kuna rafiki angu wifi ake alimchamba eti "kwa yale masikio hata tukimpeleka maznat siku ya harus tutapoteza tu hela yetu, hatopendeza", eti ana masikio kama upawa wa mchuzi uuuh. Ukikaona hako karafiki kangu kalivyo kazuri maskini mweeehahaha umenikumbusha kuna rafk yangu alimuweka girlfriend wake dp whatsap bwana bwana Dada yake si akamuona weeeee yalimtoka maneno hatari mwanamke gani uyo, tumbo lote hilo unapeleka wapi , cheki miguu yake atakuharibia watoto kabisaaa mbona kabaya ivo mama nae akaunga, he he mwanamke gani yani kwangu usimlete kabisaaa.. Alikoma yule kaka maskini
Ha ha duu hyo technique ni hatari. Ila c nimeona wajumbe wanasema inaweza kukufanya ukawa na mzigo baadae!?Mleta mada huyo jamaa yako hakuwa mjanja alitakiwa kwanza kuipeleleza familia ya mke mtarajiwa akione vipi anakodisha gari la mshikaji na kuingia nalo ukweni bila chenga.
yaaaani kulia hulii lakini cha moto unakiona aiseeeDuuu maskini, hapo kinachofata ni hisia kali na chozi asee!
Ha ha ha, daaa! Eti tutapoteza hela bure, cpati picha mhusika anaposkia hyo kitu. Na hv kampenda jamaa basi ataona kama dunia imegeuka juu chini!Hahaha nyie wanawake tuna kazi jamani. Hadi mtu afikie kukupeleka kwao officially ni shughuli, bado ufike kule waseme "hatujampenda" khaa. Me kuna rafiki angu wifi ake alimchamba eti "kwa yale masikio hata tukimpeleka maznat siku ya harus tutapoteza tu hela yetu, hatopendeza", eti ana masikio kama upawa wa mchuzi uuuh. Ukikaona hako karafiki kangu kalivyo kazuri maskini mweee