Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,593
- 188,808
Habari!
Nimeandika huu uzi kwa majonzi makubwa kwa huyu jamaa mwenye huyu mke kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu. Hivi karibuni nilikuwa na matembezi yangu binafsi ya hapa na pale, sasa mwezi uliyoisha nimerudi mahali napoishi sasa pembeni kuna apartment zipo karibu sana.
Sasa pale kulikuwa na mgeni amehamia ni mwanamke mwenye mtoto kwa maelezo niliyopewa na mama mwenye zile apartment maana tumezoea kusalimiana na mazungumzo ya hapa na pale sababu ni mtani wangu pia.
Sasa jambo lililonisikitisha ni baada ya kusikia yule mwanamke anahamia taratibu taratibu maana mumewe hayupo alikuwa mkoa. Anategemea kuhamia pale vizuri siku atakayofika mumewe toka safari.
Sasa kwa mazingira yaliyopo pale niliweza kushuhudia kila kitu sababu kuna huduma huwa wanakuja kuchukua huku wale wapangaji (Ni kwa muda mfupi maana kuna tatizo lilitokea wakafungiwa maji kule kwao) kwa ukaribu ule nilizoom vyema kabisa, kumbe yule mwanamke ameleta mwamba wake mwingine pale kukazwa wakati mumewe bado yupo safarini.
Nikajiuliza maswali mengi sana huyu mwanamke anapata nguvu wapi kunyanduliwa makazi mapya hata mumewe hajawahi kufika sehemu hiyo.
Ila nikasema ndoa hizi zina mambo mengi ambayo sisi ambao tupo nje ya game yanaendelea kutupa nguvu tusikimbilie haya matatizo.
Kila nikijaribu kuvaa viatu vya huyo jamaa naona kwangu ni oversize vitanitupa vibaya sana.
Ila huyu mwanamke narudi huu ni zaidi ya umafia!