Nimejaribu kuvaa viatu vya jamaa mwenye huyu mke vimenipwaya

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,118
187,876
Habari!

Nimeandika huu uzi kwa majonzi makubwa kwa huyu jamaa mwenye huyu mke kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu. Hivi karibuni nilikuwa na matembezi yangu binafsi ya hapa na pale, sasa mwezi uliyoisha nimerudi mahali napoishi sasa pembeni kuna apartment zipo karibu sana.

Sasa pale kulikuwa na mgeni amehamia ni mwanamke mwenye mtoto kwa maelezo niliyopewa na mama mwenye zile apartment maana tumezoea kusalimiana na mazungumzo ya hapa na pale sababu ni mtani wangu pia.

Sasa jambo lililonisikitisha ni baada ya kusikia yule mwanamke anahamia taratibu taratibu maana mumewe hayupo alikuwa mkoa. Anategemea kuhamia pale vizuri siku atakayofika mumewe toka safari.

Sasa kwa mazingira yaliyopo pale niliweza kushuhudia kila kitu sababu kuna huduma huwa wanakuja kuchukua huku wale wapangaji (Ni kwa muda mfupi maana kuna tatizo lilitokea wakafungiwa maji kule kwao) kwa ukaribu ule nilizoom vyema kabisa, kumbe yule mwanamke ameleta mwamba wake mwingine pale kukazwa wakati mumewe bado yupo safarini.

Nikajiuliza maswali mengi sana huyu mwanamke anapata nguvu wapi kunyanduliwa makazi mapya hata mumewe hajawahi kufika sehemu hiyo.

Ila nikasema ndoa hizi zina mambo mengi ambayo sisi ambao tupo nje ya game yanaendelea kutupa nguvu tusikimbilie haya matatizo.

Kila nikijaribu kuvaa viatu vya huyo jamaa naona kwangu ni oversize vitanitupa vibaya sana.

Ila huyu mwanamke narudi huu ni zaidi ya umafia!
 
rafiki haya mambo ni kawaida sana kwa sababu Mungu alitupa kitu kizuri sana yaani kutokujua nini kinaendelea nyuma ya pazia na hiyo ndio inafanya watu tuwe na amani na ndoa kuwa zipo miaka, tofauti na hapo hata wewe ugelelewa na single parent tu.... halafu tambua kuwa unaweza gongewa mke hata na jirani yako lakini wote watajua ila wewe usijue kamwe....
 
Nyinyi si ndo mnaonage wale wanaume wanaokaa na wadogo zao ktk nyumba zao wajinga endeleeni kuhadithiana ujinga unaofanywa ktk vitanda vyenu wenyewe.

Hakikisha km unakazi za kusafiri hapo nyumbani una ndugu hata awe mtoto wa drasa la sita au house girl aliyetafutwa kutoka kwenu.....ukijifanya mzuungu saana watu wanakuona mpuuuzi saaaana
 
Hayo mambo ya kawaida sanaaa kwa watu wazima kama hujui hata mamaako si ajabu alikuwa anachepuka hata babaako pia hakuna cha ajabu gha kikufanya uogope kuoa hapo
 
Nimeulizia BASTOLA nimeambiwa million mbili Kama na laki 3 hvi sasa ntafia jela.
108700305.jpg
 
Dah, mie mwanamke kuwa anapigwa bolo nje sio habari ila mwanamke mwenye guts za kuingiza kidume ndani ya nyumba ambayo nalipia kodi! Thats another case bruh! Very serious case aisee.

Hivi wanawake mna shida gani ya kushindwa ku reason namna hii? Hivi kweli uingize bwana aje akumbato katika kitanda ambacho unalala na mumeo na mmepatia mtoto wenu hapo?
 
Kimjinimjini inaitwa
Ukipeleka umbea Kwa mume unasutwa wewe na mumewe anakupiga marufuku kumfatilia mkewe..
Wakati fulani jamaa kasafiri kwenda masomoni. Mkewe nyumba yao kageuza ya kupokea wageni wenyeji. Kila size ya mwanaume aliingizwa. Awe mgonjwa au mzima alipewa mzigo.

Kuna jamaa alinyimwa kwa kuwa alishagonga binti yao wa kulea. Akatuma sms kwa mwenye mke kuwa mkewe wanagonga sana. Mwenye mke alijibu kwa kifupi tu. SIKUACHA MLINZI WA MKE WANGU.

Ndo ujue haya mambo si ya kuingilia.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom