Nimejaribu kuvaa viatu vya jamaa mwenye huyu mke vimenipwaya

Wakati mwingine sisi wanaume hatuelewi wajibu wetu. Unakaa mbali na mkeo mwezi, hana genye? Zikiwasha azime nani? Mpe keo mzigo japo mara 2 kwa mwezi kwa game kali.
Wengine wana genye mshindo, yani hamalizi week bila kugonywa. Ke anakuwa na very high sex drive kila siku 2 anataka agonywe hawa wanawake aina hii ni hatari sana ukiwa mtu wa kusafiri kuna hati hati utabambikiwa mtoto ambaye si wako.
 
Wakati fulani jamaa kasafiri kwenda masomoni. Mkewe nyumba yao kageuza ya kupokea wageni wenyeji. Kila size ya mwanaume aliingizwa. Awe mgonjwa au mzima alipewa mzigo.

Kuna jamaa alinyimwa kwa kuwa alishagonga binti yao wa kulea. Akatuma sms kwa mwenye mke kuwa mkewe wanagonga sana. Mwenye mke alijibu kwa kifupi tu. SIKUACHA MLINZI WA MKE WANGU.

Ndo ujue haya mambo si ya kuingilia.
Eeh haya mambo ukijitia kiherehere inakula kwako. Bora uuchune tu maana wengine wanakuwaga na shida shida za kimifumo ya uzazi. Unakuta mwanaume mlevi tu jogoo hapandi mtungi kwahio mkewe anachilwa nje na hilo analifahamu na katoa baraka zote.
 
Ukiwaza hayo, maisha yatakushinda, 99.9% ya wanawake wenye ndoa wanaliwa na wanaume wengine, Kabla hujaoa, Tafuta sababu moja tu ya kuoa, Mengine achana nayo na jikite kwenye kutafuta pesa, kwa ajili yako, na kama una watoto kwa ajili ya watoto wako, ikimpa mke pesa toa kama unavotoa msaada kwa watu wengine, usifanye uwekezaji kwani mwishowe utahuzunika na unaweza kuchukua maamuzi mabaya.
 
I ASKED MY GREAT GRANDFATHER .....WHAT IS THE SECRET OF LIVING UP TO 100YEARS HEALTH AND CHARMING......HE REPLIED THAT HE WAS ALWAYS MINDING HIS OWN BUSINESS......
 
Attachments

  • 7C4D5A0F-0DEC-46DF-9FAE-DC1E6C19B96F.png
    7C4D5A0F-0DEC-46DF-9FAE-DC1E6C19B96F.png
    17 KB · Views: 4
Dah, mie mwanamke kuwa anapigwa bolo nje sio habari ila mwanamke mwenye guts za kuingiza kidume ndani ya nyumba ambayo nalipia kodi! Thats another case bruh! Very serious case aisee.

Hivi wanawake mna shida gani ya kushindwa ku reason namna hii? Hivi kweli uingize bwana aje akumbato katika kitanda ambacho unalala na mumeo na mmepatia mtoto wenu hapo?
Kitendo tu Cha mwanamke mwenye mtoto mdogo kuingiza mwanaume asiye baba wa mtoto kitandani kwake , na Wala sio mumewe Wala mchumba rasmi, ni ushujaa

Kuna vitu ni athari kwa makuzi ya mtoto achilia mbali mumewe

Huyo mtoto anajifunza Nini!? Ajione Ana baba wangapi?
 
alafu walio singo wengi waaminifu

Wakishaoanaga mdudu anatokeaga wapi sijui.
Wee acha tu

Yaani ukishakuwa katika mahusiano kama una manzi mkali au una bf handsome ndugu yangu kazi unayo

Maana lazima watu nao wata taka kujaribu waone kinacho mzuzua huyo mtu uliye naye ni kiti gani hapo sasa ndio balaa linapoanzaga

Nilikuwaga na binti 1 miaka iliyopita alikuwaga ni mzuri balaa yaani balaa
Itoshe tu kusema kwamba alikuwa anafaa kwa matumizi ya binaadamu ..

mtoto sura kama kamwarabu fulani kapua kake sasa kembamba hivi kama mnyaruanda lips so hot alikuwa akinipa french kisses network inakata kabisa hilo wowowoo sasa sijui ndio mnaita ngongingo mtajua wenyewe ndugu wasomaji

Basi bwana yule mtoto mzuri alisababisha niwe nafuatwa fuatwa mnoo na wanawake nadhani walikuwa wanataka kujua kilicho mpagawisha Yule Yule ndege mnana ni nini ?

MKASA KAMILI
-------------------------
Kuna manzi 1 hivi nilikuwa naishi nae nyumba 1 niliyopanga alikuwa anaitwa Hilda(sio jina halisi) awali kabla sijawa na huyo manzi mlimbwende niliwahi kumtaka daah!! Aisee alinikataa kinoma noma tena kwa herufi kubwa

Siku hazigandi bwana miezi ikasonga nikaja kuopoa hicho chombo mamaee
Siku hiyo mtoto mzuri siakaniambia nimpitie sinza then twende home kwangu .

Basi nikamfuata tukachukua bajaji Hadi home ile nafika tu na Yule manzi huku kanishika mkono nika mkutq Yule mtoto Hilda aliye nikataa yupo na mashoga zake nikawapa Hi then Mimi na m-bebe wangu tukazama ndani Chubwiiii '' tukajifungia huko manina zetu tukafanya matusi ya hela yote'

kumbe huku nje Yule Hilda uso umemshuka roho ikawa inamuuma ilipofika time ya saa 2 usiku nikamrejesha bebe toto tundu langu home kwao ". .Wakati narudi nipo kwenye chombo cha usafiri simu yangu ikaingia text kwa namba Ngeni " (Mambo) nikajibu poa mambo na wewe nani mwenzangu'

Muhusika akajitambulisha Mimi Hilda ... Nikasema Jesus I'm like wooooww

Kilichofuata baada ya hapo Ni isidingo
ITV
 
Dah, mie mwanamke kuwa anapigwa bolo nje sio habari ila mwanamke mwenye guts za kuingiza kidume ndani ya nyumba ambayo nalipia kodi! Thats another case bruh! Very serious case aisee.

Hivi wanawake mna shida gani ya kushindwa ku reason namna hii? Hivi kweli uingize bwana aje akumbato katika kitanda ambacho unalala na mumeo na mmepatia mtoto wenu hapo?
anapigwa nini !!!?? Daahh
 
Wee acha tu

Yaani ukishakuwa katika mahusiano kama una manzi mkali au una bf handsome ndugu yangu kazi unayo

Maana lazima watu nao wata take kujaribu waone kinacho mzuzua huyo mtu uliye naye ni kiti gani hapo sasa ndio balaa linapoanzaga

Nilikuwaga na binti 1 miaka iliyopita alikuwaga ni mzuri balaa yaani balaa

Basi alisababisha niwe nafuatwa fuatwa mnoo na wanawake nadhani walikuwa wanataka kujua kilicho mpagawisha Yule manzi ni nini ?

Kuna manzi 1 hivi nilikuwa naishi nae nyumba 1 niliyopanga alikuwa anaitwa Hilda(sio jina halisi) awali kabla sijawa na huyo manzi mlimbwende niliwahi kumtaka daah!! Aisee alinikataa kinoma noma tena kwa herufi kubwa

Siku hazigandi bwana miezi ikasonga nikaja kuopoa hicho chombo mamaee
Siku hiyo mtoto mzuri siakaniambia nimpitie sinza then twende home kwangu .

Basi nikamfuata tukachukua bajaji Hadi home ile nafika tu na Yule manzi huku kanishika mkono nika mkutq Yule mtoto Hilda aliye nikataa yupo na mashoga zake nikawapa Hi then Mimi na m-bebe wangu tukazama ndani Chubwiiii '' tukajifungia huko manina zetu tukafanya matusi ya hela yote'

kumbe huku nje Yule Hilda uso umemshuka roho ikawa inamuuma ilipofika time ya saa 2 usiku nikamrejesha bebe toto tundu langu home kwao ". .Wakati narudi nipo kwenye chombo cha usafiri simu yangu ikaingia text kwa namba Ngeni " (Mambo) nikajibu poa mambo na wewe nani mwenzangu'

Muhusika akajitambulisha Mimi Hilda ... Nikasema Jesus I'm like wooooww

Kilichofuata baada ya hapo Ni isidingo
ITV
Hadi ukajua umuhimu wakuwepo duniani ha ha hah
 
U
Wee acha tu

Yaani ukishakuwa katika mahusiano kama una manzi mkali au una bf handsome ndugu yangu kazi unayo

Maana lazima watu nao wata taka kujaribu waone kinacho mzuzua huyo mtu uliye naye ni kiti gani hapo sasa ndio balaa linapoanzaga

Nilikuwaga na binti 1 miaka iliyopita alikuwaga ni mzuri balaa yaani balaa
Itoshe tu kusema kwamba alikuwa anafaa kwa matumizi ya binaadamu ..

mtoto sura kama kamwarabu fulani kapua kake sasa kembamba hivi kama mnyaruanda lips so hot alikuwa akinipa french kisses network inakata kabisa hilo wowowoo sasa sijui ndio mnaita ngongingo mtajua wenyewe ndugu wasomaji

Basi bwana yule mtoto mzuri alisababisha niwe nafuatwa fuatwa mnoo na wanawake nadhani walikuwa wanataka kujua kilicho mpagawisha Yule Yule ndege mnana ni nini ?

MKASA KAMILI
-------------------------
Kuna manzi 1 hivi nilikuwa naishi nae nyumba 1 niliyopanga alikuwa anaitwa Hilda(sio jina halisi) awali kabla sijawa na huyo manzi mlimbwende niliwahi kumtaka daah!! Aisee alinikataa kinoma noma tena kwa herufi kubwa

Siku hazigandi bwana miezi ikasonga nikaja kuopoa hicho chombo mamaee
Siku hiyo mtoto mzuri siakaniambia nimpitie sinza then twende home kwangu .

Basi nikamfuata tukachukua bajaji Hadi home ile nafika tu na Yule manzi huku kanishika mkono nika mkutq Yule mtoto Hilda aliye nikataa yupo na mashoga zake nikawapa Hi then Mimi na m-bebe wangu tukazama ndani Chubwiiii '' tukajifungia huko manina zetu tukafanya matusi ya hela yote'

kumbe huku nje Yule Hilda uso umemshuka roho ikawa inamuuma ilipofika time ya saa 2 usiku nikamrejesha bebe toto tundu langu home kwao ". .Wakati narudi nipo kwenye chombo cha usafiri simu yangu ikaingia text kwa namba Ngeni " (Mambo) nikajibu poa mambo na wewe nani mwenzangu'

Muhusika akajitambulisha Mimi Hilda ... Nikasema Jesus I'm like wooooww

Kilichofuata baada ya hapo Ni isidingo
ITV
Ulirudi kum bokoa mtt hilda nae😂😂😂
 
Back
Top Bottom