Nimejaribu kuvaa viatu vya jamaa mwenye huyu mke vimenipwaya

Kitendo tu Cha mwanamke mwenye mtoto mdogo kuingiza mwanaume asiye baba wa mtoto kitandani kwake , na Wala sio mumewe Wala mchumba rasmi, ni ushujaa

Kuna vitu ni athari kwa makuzi ya mtoto achilia mbali mumewe

Huyo mtoto anajifunza Nini!? Ajione Ana baba wangapi?
Tukiwapiga magunia ya mkaa ooh wanaume mna GBV sana siku hizi😵
mungu atuvushe salama
 
Sasa nimuache kwani nimerogwa?
Hahahah popote alipo Hilda agonge budweisser kwa bill yako... maana kunae mmoja wa kichaga tulisoma nae alikuwa na mshepu na kasura ka kitoto mno. Kimo cha wastani guu, jicho kapua kazuri hizo lips itoshe tu kusema mtoto alikuwa mwiba mkali baharia nilikuwa na crush nae ila ndio hivo mziki ulikuwa JVC CD700 nikaogopa kulambishwa mchanga mapema sana😁😁😁
 
Hahahah popote alipo Hilda agonge budweisser kwa bill yako... maana kunae mmoja wa kichaga tulisoma nae alikuwa na mshepu na kasura ka kitoto mno. Kimo cha wastani guu, jicho kapua kazuri hizo lips itoshe tu kusema baharia nilikuwa na crush nae ila mziki ulikuwa CD700 nikaohopa kulambishwa mchanga mapema sana
Naam ukimiliki manzi mkali then ukawa uko broke aisee inatesa sana kiakili bora ulivyo ogopa kumu approach
 
Wee acha tu

Yaani ukishakuwa katika mahusiano kama una manzi mkali au una bf handsome ndugu yangu kazi unayo

Maana lazima watu nao wata taka kujaribu waone kinacho mzuzua huyo mtu uliye naye ni kiti gani hapo sasa ndio balaa linapoanzaga

Nilikuwaga na binti 1 miaka iliyopita alikuwaga ni mzuri balaa yaani balaa
Itoshe tu kusema kwamba alikuwa anafaa kwa matumizi ya binaadamu ..

mtoto sura kama kamwarabu fulani kapua kake sasa kembamba hivi kama mnyaruanda lips so hot alikuwa akinipa french kisses network inakata kabisa hilo wowowoo sasa sijui ndio mnaita ngongingo mtajua wenyewe ndugu wasomaji

Basi bwana yule mtoto mzuri alisababisha niwe nafuatwa fuatwa mnoo na wanawake nadhani walikuwa wanataka kujua kilicho mpagawisha Yule Yule ndege mnana ni nini ?

MKASA KAMILI
-------------------------
Kuna manzi 1 hivi nilikuwa naishi nae nyumba 1 niliyopanga alikuwa anaitwa Hilda(sio jina halisi) awali kabla sijawa na huyo manzi mlimbwende niliwahi kumtaka daah!! Aisee alinikataa kinoma noma tena kwa herufi kubwa

Siku hazigandi bwana miezi ikasonga nikaja kuopoa hicho chombo mamaee
Siku hiyo mtoto mzuri siakaniambia nimpitie sinza then twende home kwangu .

Basi nikamfuata tukachukua bajaji Hadi home ile nafika tu na Yule manzi huku kanishika mkono nika mkutq Yule mtoto Hilda aliye nikataa yupo na mashoga zake nikawapa Hi then Mimi na m-bebe wangu tukazama ndani Chubwiiii '' tukajifungia huko manina zetu tukafanya matusi ya hela yote'

kumbe huku nje Yule Hilda uso umemshuka roho ikawa inamuuma ilipofika time ya saa 2 usiku nikamrejesha bebe toto tundu langu home kwao ". .Wakati narudi nipo kwenye chombo cha usafiri simu yangu ikaingia text kwa namba Ngeni " (Mambo) nikajibu poa mambo na wewe nani mwenzangu'

Muhusika akajitambulisha Mimi Hilda ... Nikasema Jesus I'm like wooooww

Kilichofuata baada ya hapo Ni isidingo
ITV
Dawa ya jeuri Ni kiburi
 
Nilimfanya beste tu nipate kufaidi uumbaji wa mungu. Mtoto mkali flat tummy mshep wa kwenda.... af wala hakuwa malaya yani sema tu ni kama ule uoga wa kumiliki brevis kwa mshahara wa laki 3!
wee acha tu ..umasikini mbaya sana Mwaka 2012 niliwahi kukosa mtoto mkali sana yeye alinielewa kinyama but mimi nilikuwa Sina confidence kabisa yaani
 
Habari!

Nimeandika huu uzi kwa majonzi makubwa kwa huyu jamaa mwenye huyu mke kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu. Hivi karibuni nilikuwa na matembezi yangu binafsi ya hapa na pale, sasa mwezi uliyoisha nimerudi mahali napoishi sasa pembeni kuna apartment zipo karibu sana.

Sasa pale kulikuwa na mgeni amehamia ni mwanamke mwenye mtoto kwa maelezo niliyopewa na mama mwenye zile apartment maana tumezoea kusalimiana na mazungumzo ya hapa na pale sababu ni mtani wangu pia.

Sasa jambo lililonisikitisha ni baada ya kusikia yule mwanamke anahamia taratibu taratibu maana mumewe hayupo alikuwa mkoa. Anategemea kuhamia pale vizuri siku atakayofika mumewe toka safari.

Sasa kwa mazingira yaliyopo pale niliweza kushuhudia kila kitu sababu kuna huduma huwa wanakuja kuchukua huku wale wapangaji (Ni kwa muda mfupi maana kuna tatizo lilitokea wakafungiwa maji kule kwao) kwa ukaribu ule nilizoom vyema kabisa, kumbe yule mwanamke ameleta mwamba wake mwingine pale kukazwa wakati mumewe bado yupo safarini.

Nikajiuliza maswali mengi sana huyu mwanamke anapata nguvu wapi kunyanduliwa makazi mapya hata mumewe hajawahi kufika sehemu hiyo.

Ila nikasema ndoa hizi zina mambo mengi ambayo sisi ambao tupo nje ya game yanaendelea kutupa nguvu tusikimbilie haya matatizo.

Kila nikijaribu kuvaa viatu vya huyo jamaa naona kwangu ni oversize vitanitupa vibaya sana.

Ila huyu mwanamke narudi huu ni zaidi ya umafia!
Ukioa achana kabisa na habari za kufikiri kuwa mkeo analiwa au haliwi.

Ishi tu cha msingi watoto wako good na wewe unatimiza mahitaji yake ya nje na ya ndani lasivyo utakufa mapeeema kabisa.
 
Mi mbona sioni tatizo hapo? You can't believe, tatizo ninaloliona ni wewe tu na umbea wako ... Aiseeeeeeeee
Kweli kabisa,. Jamaa Tena Yuko nje ya apartment alafu kutwa macho yako kwa jirani. Inabidi huyu tumor taji la umbea JF.

Mbaya zaidi anapiga umbea na mwenye mama nyumba. Au anamyandua Nini?
 
Kitendo tu Cha mwanamke mwenye mtoto mdogo kuingiza mwanaume asiye baba wa mtoto kitandani kwake , na Wala sio mumewe Wala mchumba rasmi, ni ushujaa

Kuna vitu ni athari kwa makuzi ya mtoto achilia mbali mumewe

Huyo mtoto anajifunza Nini!? Ajione Ana baba wangapi?
Mleta uzi anawaona kwa nje. Bila Shaka hiyo apartment ni zaidi ya chumba kimoja. Sasa yeye amejuaje kuwa wanakulana Kama sio mmbea was mtaa huyu
 
Yani umeiongea kwa mshangao as if wanaume hawafanyi hayo, mbona wapo wanaume wananyandua ma housegirl ndani humo humo? mbona wapo wanaume mwanamke akisafiri mchepuko unahamia humo humo ndani kwa muda? Iko hivi kama ambavyo kuna wanaume washenzi wa tabia wasiojua kuheshimu ndoa zao, basi hata wanawake washenzi wasiojua kuheshimu ndoa zao wapo, sio kila mwanaume ni mume na sio kila mwanamke ni mke, sasa usiseme eti hiyo ndo sababu ya kukufanya usioe as if kabla ya kuuona uchafu wa huyo mama kuna mtu alikuthitibishia wanawake wooote ni watakatifu, kila kundi lina wabaya na wazuri,ndio maana Maandiko matakatifu yanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana
 
Back
Top Bottom