Naomba kujua kuhusu usaili Utumishi

Naomba kujua kuhusu usaili Utumishi

tahan96

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
86
Reaction score
106
Samahani wadau,

Nimeitwa kufanya usaili TANAPA tarehe 21 ila sijawahi kuhudhuria Interview yoyote ya serikali kama kuna tips zozote muhimu unaweza kuniachia hapa chini itakua vyema.

Kuelekea kufanya usaili wa kwaza wa mchujo vyeti huwa vina kaguliwa kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani? Maana nina dilema hapa sababu cheti changu cha kuzaliwa na academic certificates zangu middle name zinatofautiana ila first na sur name yote ni sawa naombeni msaada kama ina weza ku backfire ili niweze kutafuta alternative ya hili swala.

Ahsanteni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tayari wewe ni diskolofaidi.
Ulipaswa kurekebisha mambo mapeema kabla ya kuanza kufanya application yoyote
 
Muda wa kurekebisha bado upo so kama una ushauri wowote nipatie.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Utarekebishaje wakati ulishatuma vyeti wakati wa application???? au umetunga stori??
 
Beba kila kitu hadi kadi yako ya clinic. Wakihitaji wape, wasipohitaji rudisha nyumbani
 
mbona Mimi kila nikituma application failed sababu ya academic certification shida nn??? Wandugu kwenye ajira portal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wadau,

Nimeitwa kufanya usaili TANAPA tarehe 21 ila sijawahi kuhudhuria Interview yoyote ya serikali kama kuna tips zozote muhimu unaweza kuniachia hapa chini itakua vyema.

Kuelekea kufanya usaili wa kwaza wa mchujo vyeti huwa vina kaguliwa kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani? Maana nina dilema hapa sababu cheti changu cha kuzaliwa na academic certificates zangu middle name zinatofautiana ila first na sur name yote ni sawa naombeni msaada kama ina weza ku backfire ili niweze kutafuta alternative ya hili swala.

Ahsanteni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
soma kwa makini haya niyaandikayo.

kule utumishi huwa wanataka vyeti pekee viongee na wala sio ushahidi wa document za viapo wala chochote ambacho kitaongezeka kuhalalisha ukweli wa taarifa za majina ya vyeti vyako hiyo siku ya interview.

kama ulilijua hilo mapema ulichopaswa kufanya ni kurekebisha makando kando/kasoro kasoro zote na kuziweka taarifa zako kwa usahihi kabla hata ya kutuma maombi.

utumishi kitu kidogooooo sanaaaaaa kinakukosesha kazi amini usiamini.

yaani hayo makosa madogo madogo ndio njia yenyewe ya kupunguza watu siku ya usaili,pia kumbuka kule hakuna wa kukuonea huruma yaani kukusikiliza kwamba hapa ipo hv kwa sababu ilikuwa hv,unaweza kuishia getini ndg yangu-sikia tu kwa mwingine ila usiombe yakukute,watu huwa waondoka wanalia kilio cha kusaga meno.

ikitokea umeishia interview ya kwanza bila kuitwa ya pili,wala usiumie moyo bali mshukuru saaaana Mungu kwa kukunusuru na haraka sana karekebishe taarifa zako zisipishane then uzitupie upya.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau vyeti original mkuu, ukisahau hautafanya interview, we beba vyeti hilo la majina wanaweza wasikuzingue sana.
 
Usisahau vyeti original mkuu, ukisahau hautafanya interview, we beba vyeti hilo la majina wanaweza wasikuzingue sana.
getini anaweza kupita bila shida,issue inakuja pale kafanikiwa kupenya interview zote mbili na kuwekwa blacklist baada kugundulika ni watu wawili tofauti wenye majina yanayotaka kufanana kwenye zoezi la uhakiki wa vyeti ijapokuwa kiuharisia ni mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
getini anaweza kupita bila shida,issue inakuja pale kafanikiwa kupenya interview zote mbili na kuwekwa blacklist baada kugundulika ni watu wawili tofauti wenye majina yanayotaka kufanana kwenye zoezi la uhakiki wa vyeti ijapokuwa kiuharisia ni mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Atleast nikifanikiwa kupata affidavit ya kiapo cha court ambacho ni legally acceptable nitakua on the safe side kidogo right? Hata kama ofcourse watatumia hii kama weakness yangu wanikaye jina right?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Atleast nikifanikiwa kupata affidavit ya kiapo cha court ambacho ni legally acceptable nitakua on the safe side kidogo right? Hata kama ofcourse watatumia hii kama weakness yangu wanikaye jina right?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Usisite kwenda kufanya interview we nenda na ukifika wakati wa ukaguzi usiwaambie chochote kuhusu kasoro iliyopo kwenye cheti chako, maana wanaweza wasigundue kwa harakaharaka issue ipo kwenye interview ya pili kama utabahatika kuitwa kule mnakuwa wachache na ukaguzi unakuwa wa maana. Ushari wa ziada ukimaliza interview haijilishi umepenya , umefeli au ulikataliwa kufanya interview ...nakushauri NENDA RITA KABADILISHE JINA , UKIENDA PALE UBEBE IKO CHETI CHAKO CHA FORM FOUR , AU NYARAKA YOYOTE INAYOONYESHA MAJINA YAKO SAHIHI UNAYOYATAKA, MFANO KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA, AU CHA NIDA CHA BABA AKO, AU CHA NDOA CHA BABA AKO ,UKIWA NA MOJA YA NYARAKA HIZI TOA KOPI BEBA NA HICHO CHAKO CHA KUZALIWA ORIGINAL NA KOPI MBILI UKIFIKA PALE UTAKIACHA WAAKWAMBIA UENDE BAADA YA CKU 7 ILI WAKICHEKI KAMA KIPO KWENYE MFUMO, WATAKUPANGIA TAREHE YA KURUDI WAO WATABAKI NA KOPI MOJA , WEWE WATAKURUDISHIA ORIGINAL NA KOPI YAKO 1, SIKU UTAKAYORUDI WATAKWABIA KM UPO KWENYE MFUMO AU LAH, KAMA UPO UTALIPA SH. 6500, NA UTAACHA ORIGINAL NA UTAANDIKA MAELEZO KWENYE BARUA KUHUSU KUALISHA JINA , UKILIPIA UTALEWA RISITI UTAAMBIWA URUDI BAADA YA WIKI MBILI... UKIENDA UTAPEWA CHETI KIPYA CHENYE MAJINA SAHIHI ILA KAMA HAWAJAKUONA KWENYE MFUMO NADHANI UTAJAZA FORM UPYA NA UTALIPA ELFU 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nilipiga interview moja tu utumishi na ilikuwa oral tu, na Cheti cha shule majina yangu yaliunganishwa ile namaliza primary hivyo vyeti vyangu vina majina mawili(academic) huku cha kuzaliwa matatu.

Nilitengeneza kiapo kukana cheti cha kuzaliwa, pia juzi tu nimetengeneza cheti cha kuzaliwa Rita, Ila majina ndiyo vile vile academic certs.. Majina mawili na birth matatu.

Ila kiapo kinasaidia kwa sasa nitakubali kuwa majina yote ni yangu.
 
Back
Top Bottom