Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

Hivi ni nani aliyewadanganya kwamba ukienda mafunzo ya Zimamoto ni ajira ya moja kwa moja? Au ni utaratibu mpya?
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

TANGAZO LA AJIRA

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania linatangaza nafasi za Ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa vijana waliosomea ujuzi/fani, cheti na stashahada toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014 waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Waombaji wa kazi watume barua za maombi kabla ya tarehe 30 Juni, 2015 kwa anuani ifuatayo:

Kamishna Jenerali,
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
S.L.P 5821,
DAR ES SALAAM.

1. SAJINI WA ZIMAMOTO NA UOKOAJI (SERGEANT OF FIRE AND RESCUE) – Nafasi 200.

Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha sita kati ya mwaka 2013 hadi 2014.
Mwenye Stashahada ya Habari na Mawasiliano, Utunzaji wa Kumbukumbu, Ugavi na Ununuzi, Katibu Muhtasi,Uhasibu na Uuguzi; au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I katika moja ya fani ya Umakenika, Ufundi Bomba, Ufundi Umeme wa Majengo,Ufundi Umeme wa Magari, Wachora Ramani, Fundi Rangi wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Uashi, Gym, Ufundi Mitambo, Kada za Afyana Ufundi Seremala.

2. KONSTEBO WA ZIMAMOTO NA UOKOAJI (FIRE CONSTABLE) – Nafasi 803.

Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014. Mwenye cheti katika fani yaHabari na Mawasiliano, Utunzaji wa Kumbukumbu, Zimamoto na Uokoaji, Ugavi na Ununuzi, Katibu Muhtasi, Uhasibu na Uuguzi; au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I katika moja ya fani ya Umakenika, Ufundi Bomba, Ufundi Umeme wa Majengo, Ufundi Umeme wa Magari, Wachora Ramani, Uchomeleaji, Ufundi Uashi, Gym, Ufundi Mitambo, Kada za Afya, na Ufundi Seremala.

MASHARTI MUHIMU KWA MWOMBAJI:

  • Mwombaji ni lazima awe amepitia na kuhitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kati ya mwaka 2012 – 2015.
  • Waombaji wote wawe wamehitimu kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014.
  • Mwombaji ambatanishe vivuli vya vyeti vyote yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya sekondari, cheti/vyeti vya taaluma na cheti cha kumaliza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), (CV) ikiwa na majina ya wadhamini watatu na anwani zao na picha mbili ndogoza (passpot size), hati ya kiapo haitakubaliwa.
  • Mwombaji aandike kazi aliyoomba juu ya bahasha.

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Mwombaji awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25, mwenye afya njema na ambaye hajaoa au kuolewa.
  • Mwombaji asiwe na kumbukumbu za kutenda uhalifu.
  • Mwombaji awe na urefu usiopungua sentimenta 155.
  • Mwombaji awe hajawahi kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.
  • Barua zote za maombi zitumwe kwa njia ya Posta.
  • Mwombaji awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
  • Mwombaji awe tayari kufanya kazi mahali popote atakapopangiwa ndani ya Nchi.

Imetolewa na
Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji (T)
DAR ES SALAAM.
 
Majeshi Tanzania ni haya tu;
1. JWTZ baba yao
2. POLISI mtoto wa kwanza
3. MAGEREZA mtoto wa pili
4. JKT mtoto wa mwisho ambaye bado anaishi kwa baba

Hao wengine sijui zimamoto ni kikosi, uhamiaji ni idara ndio maana wako chini ya utumishi sawa na walimu manesi

Hata pia katiba inatambua majeshi ni jw polisi Magereza na jkt ndo maana utawaona pale uwanja wa Uhuru wakipiga kwata
Sjui umerogwa haya bhna ngoja nikupeleke kwenye tovuti ya wizra ya mambo ya ndani
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Majukumu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ni kukinga na kupunguza idadi ya vifo, majeraha kwa watu, na uharibifu wa mali kutokana na moto, mafuriko, matetemeko, ajali za barabarani na majanga mengine.
Idara na Vitengo vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ni pamoja na:

Divisheni ya Usalama wa Moto;
Divisheni ya Operesheni;
Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu;
Kitengo cha Sheria;
Ofisi za Zimamoto na Uokoaji Mikoa;
Ofisi za Zimamoto na Uokoaji Wilaya;
Vituo vya Zimamoto na Uokoaji na;
Chuo cha Zimamoto na Uokoaji.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisaidiwa na Naibu Kamishna Jenerali, Makamishna na Makamanda wengine. Soma hapo chini kwa maelezo zaid
Sisi ni Nani? | Ministry of Home Affairs

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisaidiwa na Naibu Kamishna Jenerali, Makamishna na Makamanda wengine.
 
Umejibu nini sasa, ni jeshi kwa katiba na sheria ipi?kwa msaada wako pitia na ile sheria cap 14 of 2007 ya fire
 
Umejibu nini sasa, ni jeshi kwa katiba na sheria ipi?kwa msaada wako pitia na ile sheria cap 14 of 2007 ya fire
mkuu nashindwa kukubishia ila nakupa tyu kwa kifupi kwamba

Huduma za Zimamoto Tanzania Bara zilianza wakati wa utawala wa kikoloni mara baada ya vita kuu ya pili ya dunia mwaka 1945, ambapo kipindi hicho kulikuwa na kikosi kimoja tu kilichoitwa Police Fire Brigade kilichosimamiwa na Jeshi la Polisi.
Mwaka 1950 huduma hii iligawanywa katika makundi mawili ambayo ni Zimamoto ya Manispaa iliyokuwa chini ya usimamizi wa Manispaa, na Zimamoto Viwanja vya Ndege iliyokuwa chini ya usimamizi wa Idara ya Kazi.
Kutokana na kupanuka kwa miji, viwanja vya ndege na bandari, vikosi vingine vya Zimamoto vilianzishwa na kimojawapo ni Zimamoto Bandari chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Bandari.
Mwaka 1982 huduma ya Zimamoto viwanja vya ndege iliwekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati vikosi vya Zimamoto vya Manispaa na Miji viliwekwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, vikisimamiwa na Wizara ya Serikali za Tawala za mikoa na Miji.
Kutokana na majukumu ya Zimamoto kusimamiwa na mamlaka tofauti, ufanisi wake haukuwa wa kuridhisha, hivyo kuilazimu serikali kuangalia namna ya kuboresha huduma hiyo.
Mwaka 1985, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria Na. 3 iliyoanzisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kuifanya huduma hiyo itolewe katika nidhamu ya kijeshi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katika kuendelea kuboresha huduma za Zimamoto na Uokoaji, mwaka 2007 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha Sheria Na. 14 ya Zimamoto na Uokoaji yani (Fire and Rescue Force Act) iliyoviweka vikosi vya Zimamoto na Uokoaji chini ya kamandi moja.
Sheria hii kwa kiasi kikubwa ilitoa fursa kwa Jeshi la Zimamoto na uokoaji kujipanga upya kimuundo na kuweka mgawanyo wa majukumu wenye tija, ili kurahisisha utoaji huduma ya zimamoto na uokoaji.
Sasa hivi jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaongozwa na Kamishna Jenerali anayesaidiwa na Naibu Kamishna Jenerali, akifuatiwa na Makamishna watatu wanaoongoza divisheni tatu za jeshi hilo ambazo ni utawala na fedha, oparasheni na tawi la usalama wa umma na mali.
Chini ya divisheni hizi kuna vitengo vinavyoongozwa na Makamishna Wasaidizi, ili kutengeneza mfumo wa kiutendaji wenye kuleta tija katika utoaji huduma kwa jamii.
Divisheni ya Usalama wa Umma linahusika na kuzuia na kukabiliana na majanga kama moto, matetemeko ya ardhi, mafuriko, na majanga mengine pindi yanapo tokea pamoja na kufanya uchunguzi wa majanga hayo kubaini chanzo chake na kupanga mikakati ya kukabiliananayo.
Kupitia vitengo vilivyo chini yake, pia divisheni hii linahusika na kuelimisha jamii juu ya majanga ya moto na uokaoji, kukagua majengo, kuandaa na kutekeleza mipango ya kuzuia moto, kupanga na kukagua usalama wa ujenzi katika viwanda, vituo vya mafuta na kemikali pamoja na vituo vinavyozalisha gesi.
Kwa upande wa divisheni ya oparesheni, miongoni mwa majukumu yake ni kusimamia mafunzo, kukagua huduma za zimamoto na uokoaji kwenye kanda pamoja na kufanya tahmini ya madhara yaliyotokea kwenye majanga mbalimbali.
Majukumu ya divisheni ya Utawala, rasilimali watu na fedha ni kufanya utafiti na mafunzo, kusimamia uajiri, kuandaa na kutunza kumbukumbu za watumishi pamoja na maandalizi na mapitio ya sheria ya moto na uokoaji na kanuni zake.
Pamoja na muundo huo, Jeshi la Zimamoto pia limeweza kuboresha chuo chake ambacho majukumu yake ni kuendeleza na kufanya mapitio ya muundo wa Zimamoto na Uokoaji, kufanya utafiti kuhusu madhara ya matukio ya majanga ikiwa ni pamoja na kulinganisha matokeo ya ndani na nje ya tafiti hizo.
Chuo hiki pia kinatoa mafunzo yote kwa askari wa Jeshi hilo pamoja na mafunzo ya nidhamu kwa maafisa, sambamba na mafunzo kwa wadau majanga mbalimbali wote pamoja na wananchi kwa ujumla.
Pamoja na changamoto kadhaa zinazolikabili Jeshi la Zimamoto, Jeshi hilo kwa kiasi kikubwa limejitahidi kusambaza huduma zake kwa wananchi, kwa kweka vituo vya zimamoto katika baadhi ya makao makuu ya mikoa, wilaya na maeneo mengine muhimu nchi nzima.
Mafanikio mengine ni Jeshi hilo kuwa na ushirikiano mkubwa na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, hivyo kuongeza wigo wa kiutendaji. Miongoni mwa matunda ya ushirikiano huo ni pamoja na Jeshi la Magereza kukubali kutoa mafunzo ya kijeshi ya awali, uongozi mdogo wa kati na uongozi wa juu ili kuwajengea uwezo wa kiutendaji maafisa na askari wa Zimamoto.
Kwa upande wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, limekuwa karibu sana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika maokozi pindi yanapotokea majanga makubwa yanayotishia usalama wa watu na mali zao.
Kwa mfano tarehe 03 Desemba 1989 Jeshi la Wananchi lilishirikiana na Zimamoto na Uokoaji kukabiliana na moto uliotokea katika kampuni ya kusafisha mafuta ya Tazama Tank Farm Dar es Salaam na kufanikiwa kuuzima.
 
Umejibu nini sasa, ni jeshi kwa katiba na sheria ipi?kwa msaada wako pitia na ile sheria cap 14 of 2007 ya fire
1476851349927.jpg
huu ni msaada mwingne wa hyo uliyoiita sheria ndo iliyoipa mamlaka idara ya zimamoto kuwa jeshi mwaka 2007 ikijitegemea kutoka kwenye mikono ya police soma mwanzoni hapo nilipozungushia tayari imepewa brigade na inaitwa force kama zingne
a) TANZANIA PEOPLE DEFENCE FORCE (TPDF) kama wengne mnavoifahamu JWTZ
b) POLICE TANZANIA FORCE (PT)
C) JESHI LA MAGEREZA NA MENGNE
 
View attachment 420542 huu ni msaada mwingne wa hyo uliyoiita sheria ndo iliyoipa mamlaka idara ya zimamoto kuwa jeshi mwaka 2007 ikijitegemea kutoka kwenye mikono ya police soma mwanzoni hapo nilipozungushia tayari imepewa brigade na inaitwa force kama zingne
a) TANZANIA PEOPLE DEFENCE FORCE (TPDF) kama wengne mnavoifahamu JWTZ
b) POLICE TANZANIA FORCE (PT)
C) JESHI LA MAGEREZA NA MENGNE
Unaijua tafsiri ya brigade au unasoma sheria kama gazeti, pitia na ibara ya 147 ya katiba inayoainisha majeshi
 
Unaijua tafsiri ya brigade au unasoma sheria kama gazeti, pitia na ibara ya 147 ya katiba inayoainisha majeshi
Hahahaha asante sana umeitaja katiba ambayo yenyewe imetoa mamlaka ya serikali kuanzisha jeshi katiba imetungwa mwaka 1977 jeshi la zimamoto limeanzishwa mwaka 2007 soma tena katika hyohyo ibara hiyohyo ya 147 na usome kwa makini
1476853785162.jpg
hyo ibara ya kwanza inasema ni marufuku mtu yyte kuanzisha jeshi isipokuwa serikari....na ibara inayofuta inasema serikali inaweza kuanzisha jeshi pale inapoona inafaaa ndo inafuata ibara yako iliyoainisha majeshi kwa wakati ule... Kama ungekuwa mfatiliaji mwanzoni nilikuonyesha ile historia ya jeshi la zimamoto ungekaa ukaisoma zamani ilikuw kama idara kwenye jeshi la police baadae mwaka 2007 ikafanyiwa utaratibu na kutungiwa sheria ikawa independent force... ndugu yangu kuwa mwepesi kusoma katiba hyo ndo silaha yako sheria huijui unang'ang'ana kwa kukaririi eatu leo hii ni mwaka wa kumi tunanga'ang'ana na sheria kuitumikia hahahahahah halafu unakuja kubishana.
-OVER-
 
Hahahaha asante sana umeitaja katiba ambayo yenyewe imetoa mamlaka ya serikali kuanzisha jeshi katiba imetungwa mwaka 1977 jeshi la zimamoto limeanzishwa mwaka 2007 soma tena katika hyohyo ibara hiyohyo ya 147 na usome kwa makini
View attachment 420600hyo ibara ya kwanza inasema ni marufuku mtu yyte kuanzisha jeshi isipokuwa serikari....na ibara inayofuta inasema serikali inaweza kuanzisha jeshi pale inapoona inafaaa ndo inafuata ibara yako iliyoainisha majeshi kwa wakati ule... Kama ungekuwa mfatiliaji mwanzoni nilikuonyesha ile historia ya jeshi la zimamoto ungekaa ukaisoma zamani ilikuw kama idara kwenye jeshi la police baadae mwaka 2007 ikafanyiwa utaratibu na kutungiwa sheria ikawa independent force... ndugu yangu kuwa mwepesi kusoma katiba hyo ndo silaha yako sheria huijui unang'ang'ana kwa kukaririi eatu leo hii ni mwaka wa kumi tunanga'ang'ana na sheria kuitumikia hahahahahah halafu unakuja kubishana.
-OVER-
Pitia na hiyo 147(4) kama fire wapo pia kule wizara ya mambo ya ndani fire na immigration wako chini ya utumishi tofauti na polisi na Magereza ambao wana tume yao ya utumishi na pitia sheria ya utumishi wa umma kama sikosei s.6 hao fire na uhamiaji wapo kule. Kingine utoaji wa vyeo vya kijeshi ni tofauti wa hao wengine ambapo jeshini unaanza na mkataba lakini utumishi wa kiraia unaajiriwa moja kwa moja
 
Na kuhusu utoaji wa vyeo vya kijeshi uko tofauti kulingana na nchi zilizotutawala kama sisi tanzania tunafata jeshi la uingereza na utoaji wa vyeo huwa umegawanyika wale wa jeshi la wananchi na waliotoka kwenye police force

Tanzania Police Force / Polisi Tanzania
Na kwenye jeshi ni
Tanzania Peoples’ Defence Force - Land Forces / Jeshi la Wananchi la Tanzania - JWTZ
Soma hzo link vizuri upate vyeo vya jeshi
 
Nimekujibu nimekwambia kwamba katiba ilikuw tayar imeshatungwa 1977 na jeshi hlo limeundwa mwaka 2007 so lipo ndani ya katiba ibara ya 147 ibara ndogo ya 1 na 2
 
Na kuhusu utoaji wa vyeo vya kijeshi uko tofauti kulingana na nchi zilizotutawala kama sisi tanzania tunafata jeshi la uingereza na utoaji wa vyeo huwa umegawanyika wale wa jeshi la wananchi na waliotoka kwenye police force

Tanzania Police Force / Polisi Tanzania
Na kwenye jeshi ni
Tanzania Peoples’ Defence Force - Land Forces / Jeshi la Wananchi la Tanzania - JWTZ
Soma hzo link vizuri upate vyeo vya jeshi
Utoaji wa vyeo vya kijeshi lazima uende kozi mbali na ile ya awali mfano luteni usu au mkaguzi msaidizi wa polisi au magereza lazima waende kozi the same to corporal etc
 
Acha ubishi usokuwa na tija wa kungangania kipengele kidogo cha sheria soma ibara ya 147 ibara ndogo ya kwanza na ya pili alafu njoo uponge
 
Back
Top Bottom