Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.
Malizia degree yako kwanza, mm nipo huku hakuna issue bila kisomo bro
 
Kijana ingekuwa vizuri ungetoa na source ya taarifa au umearifiwa kwa njia gani?
 
Binafsi nakushauri uende kwenye ajira kwasababu shule tayar unayo ukiahirisha bado hujaikosa lakini ajira huna ukiipotezea umeikosa...so ili usiwe looser NENDA ZIMAMOTO.
 
Kiongozi ingekuwa vizuri ungeweka chanzo cha taarifa au njia ambayo umepata ujumbe ili ueleweke vizuri, ninavyojua mimi nafasi zilitangazwa mwaka jana usaili majina yakatoka mwezi aprili mwaka huu ila ukaahirishwa mpaka leo kimya. wewe ya mwaka juzi ni ya wapi tena labda kama sio Tanzania. Bila shaka ww ni tapeli au unatarajia kutapeliwa vijana wenzangu msipende kuamini sana taarifa za mitandao bila kuwa na chanzo cha uhakika.
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.
Mkuu umetumiwa sms au umepigiwa simu? Mimi ni mmoja wapo pia
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.
mbona mm sijaitwa mkuu?nilikuwemo kwenye orodha ya walioairisha usaili?
 
Nenda zimamoto
Siku hizi ajira ngumu bahati haiji Mara mbili.....postpone chuo zen ukimalizana na zimamoto utarudi chuo ukiwa tayari una ajira
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.

Kama hii ni habari ya kweli ahirisha masomo chuoni uende mafunzo halafu utakuja kumalizia chuo ukiwa na ajira yako, huku mtaani sio kwa mchezo mchezo sasa hivi..
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.
Dah kaka kama me nakushauli uende uko zmamoto kwanza IPO mambo ya ndani pili ata nafas ya kusoma zpo
 
Kuchamba kwingi mwisho unatoka na Mavi
1. Jeshi la Polisi
2. Jeshi la Zima moto
3. Jeshi la Wananchi
4. Jeshi la Uhamiaji
5. Jeshi la Kujenga Taifa
6. Jeshi la Magereza
Saf kuna majitu yanajifanya majuaji
 
Kuchamba kwingi mwisho unatoka na Mavi
1. Jeshi la Polisi
-----------(a) Trafick
----------(b) FFU
2. Jeshi la Zima moto
3. Jeshi la Wananchi
-----------(a) Jeshi la majini (Navy)
-----------(b) Anga (Air Force)
-----------(c) Nchi kavu (Combat)
4. Jeshi la Uhamiaji
5. Jeshi la Kujenga Taifa
6. Jeshi la Magereza
Hakuna jeshi la uhamiaji ni idara ya uhamiaji na zimamoto ni jeshi la zimamoto na uokoaji....
 
Ni kweli ambapo idara ina vitengo vifuatavyo
  1. Divisheni ya Pasi, Uraia na Utaifa;
  2. Divisheni ya Visa, Pasi na Vibali;
  3. Divisheni ya Usimamizi na Uthibiti wa Mipaka;
  4. Ofisi ya Zanzibar;
  5. Divisheni ya Utawala, Fedha na Uhasibu;
  6. Kitengo cha Sheria;
  7. Chuo cha Taaluma za Uhamiaji Tanzania; na
  8. Ofisi za Uhamiaji za Mikoa
 
Kuchamba kwingi mwisho unatoka na Mavi
1. Jeshi la Polisi
-----------(a) Trafick
----------(b) FFU
2. Jeshi la Zima moto
3. Jeshi la Wananchi
-----------(a) Jeshi la majini (Navy)
-----------(b) Anga (Air Force)
-----------(c) Nchi kavu (Combat)
4. Jeshi la Uhamiaji
5. Jeshi la Kujenga Taifa
6. Jeshi la Magereza
Majeshi Tanzania ni haya tu;
1. JWTZ baba yao
2. POLISI mtoto wa kwanza
3. MAGEREZA mtoto wa pili
4. JKT mtoto wa mwisho ambaye bado anaishi kwa baba

Hao wengine sijui zimamoto ni kikosi, uhamiaji ni idara ndio maana wako chini ya utumishi sawa na walimu manesi

Hata pia katiba inatambua majeshi ni jw polisi Magereza na jkt ndo maana utawaona pale uwanja wa Uhuru wakipiga kwata
 
Kuchamba kwingi mwisho unatoka na Mavi
1. Jeshi la Polisi
-----------(a) Trafick
----------(b) FFU
2. Jeshi la Zima moto
3. Jeshi la Wananchi
-----------(a) Jeshi la majini (Navy)
-----------(b) Anga (Air Force)
-----------(c) Nchi kavu (Combat)
4. Jeshi la Uhamiaji
5. Jeshi la Kujenga Taifa
6. Jeshi la Magereza
Jeshi la polisi lina vitengo hivyo viwili tu au umepitiwa
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.

HONGERA YAKO KIONGOZI,LAKINI KIPINDI UNAOMBA ULIAMBATANISHA NA GAMBA LA JKT?
 
HABARI ZA ASUBUHI WAKUU ,JANA NIMEITWA KUANZA MAFUNZO MARA MOJA KATIKA JESHI LA ZIMAMOTO AMBAYO MAOMBI TULITUMA MWAKA JUZI..NILIPOONA UKIMYA NILIAMUA KUANZA MASOMO YA DEGREE YA KWANZA AMBAPO KWA SASA NAINGIA MWAKA WA TATU NA NDIPO WAO WAMETUMA JANA MESEJI KUA NATAKIWA KURIPOTI NOMBENI USHAURI NI PRESPOND MASOMO ILI NIENDE AU NIMALIZE MASOMO ASANTENI.

ulipo fikia ndio endelea.uko unaweza anza mafunzo ukafaulu ukaja onekana vyeti au mfanyakazi hewa endelea na elimu yako
 
Kuchamba kwingi mwisho unatoka na Mavi
1. Jeshi la Polisi
-----------(a) Trafick
----------(b) FFU
2. Jeshi la Zima moto
3. Jeshi la Wananchi
-----------(a) Jeshi la majini (Navy)
-----------(b) Anga (Air Force)
-----------(c) Nchi kavu (Combat)
4. Jeshi la Uhamiaji
5. Jeshi la Kujenga Taifa
6. Jeshi la Magereza
Mkuu hebu nisaidie, hivi nini maana ya neno 'jeshi'?
 
Back
Top Bottom