Ayochemical
Member
- Jan 26, 2012
- 30
- 5
Habari za asubuhi wakuu ,jana nimeitwa kuanza mafunzo mara moja katika jeshi la zimamoto ambayo maombi tulituma mwaka juzi
Nilipoona ukimya niliamua kuanza masomo ya degree ya kwanza ambapo kwa sasa naingia mwaka wa tatu na ndipo wao wametuma jana meseji kua natakiwa kuripoti nombeni ushauri nihairishe masomo ili niende au nimalize masomo asanteni.