Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tabutupu, Nov 27, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  HONGERA!KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER IMEKUCHAGUA KUINGIA KATIKA SHORT LIST YA WATU WATAKAO FANYA INTERVIEW TAR 1/12/2011.Baada ya kufanya uchambuzi wa kina, wewe umukua miongoni mwa watu sabini (70) tulioona kua wana vigezo vyote kuja kufanya kazi katika chuo chetu kama system analyst kama ulivyo omba. Hata hivyo miongoni mwa hao sabini, watu kumi na nane tu ndio watakaoajiriwa baada ya kupita interview yetu. Interview itafanyika ta 1/12/2011 kama ifuatavyo1/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 4: 00 asubuhi ;interview ya kuandika (writing interview). Saa 6:00 mchana hadi saa 8:00 mchana; interview ya mahijioano (oral interiew)2/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni; interview ya vitendo (practical interview)3/12/2011 – kila alishiriki kwenye interview atapewa barua yenye matokeo ya interview pamoja na “kifuta jasho”.Watakaopita interview watatakiwa kureport kwa human resource manager jumatatu tar 5/12/2011saa 2:00 asubuhi ili kupewa maelekezo yote jinsi gani ya kuaanza kazi. Aidha, watakao pita interview watapewa wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa pamoja na pesa ya kujikimu.Kwa kutambua kwamba wapo candidates wanao toka mbali, na ili kuepuka usumbufu ambao ulishawahi tokea awali, chuo kimeandaa hifadhi kwa interviewers wote katika hotel ya impala. Ili kuonyesha ukubali wako kwa wito wetu utatakiwa kufanya yafuatayo KABLA ya tar 30/11/2011 saa 10:30 jioni.Tuma jina lako kamili ulilotimia katika vyeti vyako, Namaba yako ya simu amabyo itapatikana muda wote pamoja na Tsh.10 000/- kwenye nama 0757 547874(pesa itumwe kwa M-pesa). Baada ya kufanya hayo utatumiwa SMS kukujulisha kwamba jina lako limekua recorded kwa interview. Utapigiwa simu jumanne tar 29/11 ili kukupa taratibu na namna gani ya kufika ARUSHA(pesa iliotajwa hapo juu itatumika kucover costs ndogo-ndogo ambazo hazikua kwenya badget yetu kama usafiri kutoka hotelini hadi interview center)Utatuwia radhi kwa kukushtukiza na uharaka wa namna hii. Tumefanya hivi ili kukimbizana na muda.Wako, S. K. Kihiyo 255 757 547874Human resource manager KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTERZOOM TANZANIA KIBOKO.[​IMG]
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Makubwa haki!

  Wajibu, waambie wakate hiyo elfu kumi katika zile laki 2 na hivyo utakapokwenda wakupatie laki na tisini tu
   
 3. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Hebu weka sawa maelezo ya heading na content. "Kwamba uliomba kazi kupitia tangazo la zoom ndo ukaitwa kwa usaili au ni zoom ndo wamekutumia ujumbe uende kwenye hiyo interview?
  Please ondoa ambiguity hiyo tuelewe.
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kuna dalili kibao za wizi. Buyer beware!
   
 5. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kigumu hapo mzee, hutaki kuelewa tuu.
   
 6. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Utapeli mtupu, barua utafikili unaalikwa kwenye tamasha la taarabu??
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Huo wizi wa wazi kabisa mkuu.
   
 8. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hao matapeli, achana nao
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Miaka ya 80 utapeli huo walikuwa kwenye tangazo lao gazetini wanakuambia kwenye baruwa ya maombi uambatanishe na stempu kwa ajili ya kutumiwa majibu, kwahiyo watoto wa mjini walikuwa wanapokea maelfu ya baruwa na kuuzichana ila wao shida yao ni zile stempu tu na wanaenda kuziuza posta kwa mtu wao ambaye wamesuka wote dili.
  Kumtapeli MATOLA yahitaji uwe na extra skills.
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nacheka tu hapa
   
 11. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Zoom! zoom akili yako
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Dah!! Nakumbuka niliwahi kutapeliwa buku 6 nilipomaliza form six na jamaa fulani walikuwa wanajiita Metro Joblink pale Mtaa wa Pemba-Kariakoo kwenye jengo la Atecos. Nakumbuka form six kibao walipigwa changa macho hususani wale wa hapa dar.

  Nilikuja kushituka kwamba nimeliwa baada ya kurudi nyumbani na kujiuliza wale jamaa mbona wamechukua mpunga wangu (6,000/=) halafu hawajanipa risiti?! Siku ya pili nikarudi pale na kukuta washikaji na mademu kibao "wanasubiri ajira".

  Nikapita kimya kimya hadi ofisini kwao na kuanza kudai hela yangu na kuwatishia wakinizingua tu, namwaga sumu kwa washikaji hapo chini kwamba nyinyi ni matapeli!!!! Jamaa, kucheki sura yenyewe ngumu ikiwa na dalili zote za kutoka Tandika, wakaona mnh, jamaa atatuharibia huyu hivyo ikabidi wanirudishie mkwanja wangu.....taratiiiiiibu, nikasepa zangu!!!!
   
 13. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jambo gumu hapa ni kuelewa hizi lawama unaelekeza kwa nani, zoom tanzania (ambao kwa maoni yangu, tarishi hauwawi) au KIBACHA PC LONGOLONGO. It seems like huelewi kuwa sio zoom ndio waliokuita na kwa namna ulivyomaliza 'ZOOM TANZANIA KIBOKO' ni kuwachafua bila sababu.

  Hebu kuwa makini kidogo mdau, unaweza kufungwa in future.
   
 14. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Na ukakosa ajira
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio Zoom bana, tatizo ni wewe mwenyewe! We ushaona, jina lenyewe tu KIBACHA; wht's KIBACHA!!! Jina hata kuvutia halivutii!! Kwa jina kama hilo nisingehangaika hata kuangalia wametangaza nini. Hebu nitajie kampuni ya maana moja yenye jina la hovyo kama hilo!!! kwa watu ambao ni serious lazima wawe na Business/company name ambayo ipo sexy! Hivi wewe unaweza kutarajia demu anayeitwa Nantungwe awe mzuri?! Halafu abt Zoom, huna haja ya kuwalaumu....kwanza ushaambiwa "zoom"! kwani hujui ku-zoom ni ku-magnify image?! ukiona job post, just zoom it na ukijiridhisha kwamba ipo ok hata baada ya ku-zoom upo 1000% then apply it, otherwise, don't!

   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Nikakosa ajira lakini nikatoka na mkwanja wangu! Buku 6 man, unafanya masihara nini!!!
   
 17. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjini shule kwa staili hiyo!
   
 18. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Njaa huleta akili....
   
 19. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni nouma ila ulifanya ya msingi ungewaambia na wenzio bana hao jamaa matapel siwataki kabisa, mi mwenyewe natafuta kazi nimekuwa kama jinga yaan unaweza nitapeli hivi hivi, afu wanajamvi msijidanganye kuitwa kwenye kazi zinazotangazwa maana nimeona wanaitana kiundugu tuu, wanatangaza kama danganya toto tuu
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mjini shule yombo darasa.
   
Loading...