GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,912
Nimemsikia Mwanamke mmoja akisema hii kauli ambayo nainukuu hapa “ Wanachokifanya Wanaume ni kubadili tu aina ya Butcher ( Bucha ) lakini wakae wakijua kuwa Nyama wanayoinunua na kuila ni ile ile tu siku zote “ mwisho wa Kumnukuu.
Swali kwa Wanaume wenzangu , je ni kweli kuwa kila uchao tunahangaika tu kuhamahama kununua Nyama katika Mabucha mengine wakati ukweli ni kwamba Nyama tunazoenda kuzinunua huko hazina tofauti yoyote na Nyama iliyopo katika Bucha zetu tunazoshinda na kulala nazo 24/7?
Swali kwa Wanawake. je huyu Mwanamke mwenzenu alivyosema kuwa Nyama za Buchani zinafanana ni sahihi? Hivi kwa mfano Nyama ya Bucha ya miss chagga inaweza kuwa sawa na Nyama ya Bucha ya Nifah?
Karibuni sana mtiririke na mserereke Wakuu na nitafurahi mno wale wote wenye Mabucha yaliyotukuka watupe ukweli juu ya hili kama ni kweli Bucha zao zote zinafanana na kwamba sisi Wanunua Nyama ( Wanaume ) huwa tunajihangaisha tu bure kuhamahama kuzinunua.
Nawasilisha.