Nimeisikia Kauli hii mahala, je ipo sahihi au imekengeuka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Nimemsikia Mwanamke mmoja akisema hii kauli ambayo nainukuu hapa “ Wanachokifanya Wanaume ni kubadili tu aina ya Butcher ( Bucha ) lakini wakae wakijua kuwa Nyama wanayoinunua na kuila ni ile ile tu siku zote “ mwisho wa Kumnukuu.

Swali kwa Wanaume wenzangu , je ni kweli kuwa kila uchao tunahangaika tu kuhamahama kununua Nyama katika Mabucha mengine wakati ukweli ni kwamba Nyama tunazoenda kuzinunua huko hazina tofauti yoyote na Nyama iliyopo katika Bucha zetu tunazoshinda na kulala nazo 24/7?

Swali kwa Wanawake. je huyu Mwanamke mwenzenu alivyosema kuwa Nyama za Buchani zinafanana ni sahihi? Hivi kwa mfano Nyama ya Bucha ya miss chagga inaweza kuwa sawa na Nyama ya Bucha ya Nifah?

Karibuni sana mtiririke na mserereke Wakuu na nitafurahi mno wale wote wenye Mabucha yaliyotukuka watupe ukweli juu ya hili kama ni kweli Bucha zao zote zinafanana na kwamba sisi Wanunua Nyama ( Wanaume ) huwa tunajihangaisha tu bure kuhamahama kuzinunua.

Nawasilisha.
 
nyama ni nyama .. utofauti kuna iliyonona na iliyokonda, iliyozeeka , iliyopata ugonjwa kwa hiyo ukiinda kununua nyama ukipata aina zote hizo unakuwa umekula nyama .. tatizo mtazidiana kwenye ubora wa nyama yenyewe na namna ya upikaji pia ..

lakini nyama ni ile ile na lengo la kula nyama ni lile lile ila VIWANGO KAKA VIWANGO
 
Sawa Fundi Nyama.
 
Ni kweli radha ni ile ile ila kwa wanawake wakikutana na madush...e tofauti kila moja na radha yake....utafiti wangu.
 
Kuna aina mbalimbali za nyama mkuu, kuna ya ng'ombe, kitimoto, mbuzi n.k sijajua alikua anazungumzia ipi mkuu
 
Inategemea na ubora wa hiyo nyama ,
Sasa utakuta nyama nyingine imedoda doo , nyengine ndo kwanzaaa imetoka machinjoni
 
Nyama ya bucha la Masaki au Oysterbay hailingani na nyama utakayonunua huku kwetu Tandale, lazima zitatofautiana ubora japo zote nyama.

miss chagga ameeleza kwa ufasaha sana.
Lakini hii isihalalishe uzinzi kwa sie wanaume.
 
Hizo bucha ni zile zile sema
tunaenda kununua nyama kutokana na

1.unadhifu wa bucha lenyew
2.quality ya nyama znazopatikana
3.ushrikiano wa mteja na muuza bucha.(ukarimu wa muuza bucha important)
4.ladha ya nyama inayopatkana hpo buchani.
5. Vionjo vnavoongezwa na muuza bucha kwenye nyama.
6.watamalizia wengine
 
Ladha ya Nyama au Bucha? Funguka vizuri Mkuu ili na sisi Wanunua Nyama tuliotukuka Buchani tuweze kuyajua yale ambayo pengine tulikuwa hatuyajui.
Unakuta wengine ana bucha kubwa ilo ladha yake siyo nzuri kama pucha dogo kuna mwenye bucha lina maji tofauti na kavu
 
nyama ni nyama .. utofauti kuna iliyonona na iliyokonda, iliyozeeka , iliyopata ugonjwa kwa hiyo ukiinda kununua nyama ukipata aina zote hizo unakuwa umekula nyama .. tatizo mtazidiana kwenye ubora wa nyama yenyewe na namna ya upikaji pia ..

lakini nyama ni ile ile na lengo la kula nyama ni lile lile ila VIWANGO KAKA VIWANGO
Hapo tu my miss chagga love you and kopa mingi mingi!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom