Nimeisikia Kauli hii mahala, je ipo sahihi au imekengeuka?

Hizo ni kauli tu za wanawake kujifariji.ila kwenye swala la mapenzi wanawake wako tofauti sana.kuanzia kwenye ladha ya nyama yenyewe had mapishi yake.Na ikumbukwe utamu tunao wenyewe tunachokifwata kwao ni vionjo na nakshi nakshi ili utamu ukolee.sasa hapo ndio tofaut inapozidi kuonekana kati yao.
 
Mkuu swali ulilowauliza wanawake jibu lake tunalo wanaume. miss chagga hawezi kuijua ladha ya Nifah wallah nakuambia. Tuulize watumiaji.

'Chipapu' bwana zina ladha anuai. Asikudanganye mtu zafanana. Na ngoja leo nikupe siri...wengi wa wanaume unaowasikia wakihaha kutafuta dawa za kuongeza nguvu, hawaumwi wale. Wameshindwa tu kujua kuwa UKILA MHARAGE ILE ILE SIKU NENDA SIKU RUDI lazima uishiwe hamu.

Unapomix leo hapa kesho pale ndio unapopata mzuka. Kama unabisha, pitia Sinza siku moja...ukitoka hapo utaona mzuka kwa mamie huko nyumbani.
Umeongea ukweli Mkuu
 
Back
Top Bottom