chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Wanunuzi wengi wanaonunua nyama mbichi kwenye mabucha tunatandikwa kwa staili ya kipekee ambayo mpaka leo hatufahamu.
Kiukweli ukiwagundua wanaweza kukuchukia hata kutokuuzia nyama.
Mambo ambayo ya kuzingatia unapotaka kununua nyama mbichi ni haya:
*Hakikisha nyama imekaa muda ikiwa imening'inia na ipunguze kama yale maji na damu yaliyomo kwenye au nenda buchani muda umekwenda.
*Usikubali muuza bucha kukupa nyama zilizo juu ya meza tayari kazikata.
*Hakikisha mwenye bucha kuwa na mzani wa digital kama ana wa mawe basi anapopima asiwe anarusha nyama ili usiweze kujua kama mzani umebalance.
*Kwa wale wanunua utumbo wa ng'ombe hakikisha utumbo usiwe na maji yale kila muda anamwagilizia utalia.
********
Nyama mbichi kilo utaipata pale ikitundikwa muda mrefu kuondoa yale yote unayoona kama kilo zipo sawa