Jamani, only 40's? LIfe begins in 50's!!!!!
Yeye mwenyewe ni Husband Material? Akienda Mwanza atakutana na cotton material, Tanga naUfundi MATERIAL, Mbeya na Hiv & aids material, .........................ooops Sumbawanga na Wanga Material, Arusha na Lema material, Kigoma na wese material, Shinyanga na Red Eyes materials......the list goes on and on
Mfikirie ndugu yako, ila kongosho mkali
Ha ha ha ha, naona kwenu mna shamba
nshawaambia huko kwetu sina kitu
mtu mwenyewe ana 40 wala hachoshi, maharage ya mbeya huo maji 1 tu kwisha habari yake
Wataka nihangaike na 30's wanakula hadi mifupa/
aku, shamwahi na nshamPM tena
Aaah, hivi si mwana jf, nshamwandikia Okada barua ya maombi na picha keshamtumia mhusika
Mfikirie ndugu yako, ila kongosho mkali
namwogopa kongosho asije akanitoa busha bure. Lol
Lol Hus, hapa lazma umepiga cha Malawi dah!
namwogopa kongosho asije akanitoa busha bure. Lol
jamani mie si mkorofi
ila nikiwa na uhakika na ninachota huwa nakifuata
i dont hesitate
nipatie email address yake nianze kuchat naye
huyu bro ana matatizo, kwanza kashakuwa kikongwe, labda atafute mjane aliyefiwa na mume maana na yeye keshatanga sana