Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Ndoa hufungwa kwa dhana ya upendo, yeye akitafuta wife materail bila upendo ameumia, upendo wa dhati hubeba yote, hakika naamini mwanamke akiupenda atakujali, yaani atakuwa wife material kama unavyotaka. Hata hivyo kama yuko serious, basi aache yote akirudi tz akae atleast 6months atamjua yule amtakaye.

Thank you, very good advise!
 
Mke mzuri na mtamu ni yule uliemtongoza mwenyewe, ukamchumbia mwenyewe. Wa kutafutiwa hanogi kabisaaa. Mwambie aje achakarike mwenyewe

Nimecheka sana. Lakini ni ushauri mzuri sana na umesema kweli. Nadhani huku kukaa nje mwa muda mrefu bila kuwa na mwenzako ni shida kubwa sana
 
Nimecheka sana. Lakini ni ushauri mzuri sana na umesema kweli. Nadhani huku kukaa nje mwa muda mrefu bila kuwa na mwenzako ni shida kubwa sana

Okada; wewe umeoa? Isije ikawa ni wewe mwenyewe the way unavyomdefend looks like unamjua sana!
 
Hii siyo siri hata mimi sijaoa 35 naenda 36!. Washichana wetu wa kibongo huku wamecheza sana hawana elimu, kutembelea wanaume tofauti na usister do mwingi sana ingawa ni wa zuri kwa sura!. Kama mimi mfano nimejitahidi ku avoid uhuni, nimeenda shule, nina paper, familia nzuri, kazi nzuri, na my looks ni above average 6'2 lakini bado kupata Mtanzania ni vigumu sana hapa hasa kama uko private. Tanzania ni vizuri zaidi tatizo ni kwamba kama unategemewa kazini ni vigumu kuchukua likizo ndefu na ni vigumu kujuana na mtu kwa muda mfupi! Hili nitatito kubwa sana lol! mfano kwangu sasa Mke ni tatizo kuliko pesa !!. Wanawake wetu waliokuja zamani ni bora wamarkani! lakini kama wamekuja watu wazima kidogo kama kujiendeleza lkielimu ni bora zaidi!

Thank you brother. You have real show the real picture and a dilema facing my brother. Na yeye anasema hivyo hivyo kama wewe, wanawake wapo, wengi tu, lakini, ni balaa. amejaribu ameshindwa., Hata yeye ana papers kabisa, lakini mmmmhh????

Nadhani wana JF watalielewa tatizo hili kwa undani sasa
 
Mwambie kaka aweke tangazo kwenye ze gadian, deilnyuz na ze sitizen kua anataka wife matirio.
Ataje sifa anazotaka,
then watu wafanye intavyuu apatikane wife matirio.
Ila akubali matokeo.

Hayo matokeao ndio anayoyaogopa, ndio maana ameomba ushauri kwenye jamvi!
 
Mwambie aje nimpe mpenzi mwenye kila kitu. Ila tu aokoke na ampende Yesu na kumfanya awe mwokozi wa maisha yake. Akiwa tayari aniPM. I am serious. Kuna kitu sijaelewa hapa mwenzenu hii material ina maana gani? Sisi wa village flavour kuelewa kwetu ni ngumu.

Amen; point taken, will Pm soon
 
I am married to a JF member and we have two beautiful daughters.

Okay; now that the doubt is cleared, l might be able to hook him with a friend of mine, PM me his email address niwainganishe watajuana wenyewe wapige story, she is 32!
 
Okay; now that the doubt is cleared, l might be able to hook him with a friend of mine, PM me his email address niwainganishe watajuana wenyewe wapige story, she is 32!

Ngoja niombe kibali chake!
 
Ina maana huko Marekani hakuna watanzania wanaenda kusoma au kuishi ambao ni wife materials?hii inanipa shida kuaamini.Nadhani kaka yako hajajichanganya au hajafungua macho kuona kile kinamfaa.

ukumbi mkubwa unakupa choice za kutosha..ukumbi anaoishi ni mdogo,na kumpata mwanamke wa kuwa MKE nje ya nchi si kazi ndogo! Waulize wabeba maboksi wengine! Wanakuwa micharuko na kujifanya wabeijing kwa saana! Huyo ataendelea tu kuchelewa,labda autumie ukumbi alio nao.Asijali taifa wala rangi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom