Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
NImepewa hii scenario na kaka yangu. Amekuwu nje ya nchi tangia 1996. aliondoka akiwa kijana mdogo hadi sasa ana 40's. Katika kipindi hicho, ladies friends zake wote wameolewa. rafiki zake wa kiume wote wameoa. wadogo zake wamoea. Akiwa USA kwa muda wote huo, amejaribu kuoa foreigners ma hata watz ameshindwa. Rafiki zake waliooa nje wamekuwa mfano mbaya kwake. Ndugu na jamaa zake wameanza kumuuliza maswali mengi kulikoni? yeye anasema ni mzima . Angenda sana kuona Tanzania lakini ana wasi wasi kuwa atapataje mwanamke mwenye tabia nzuri, a wife material wakati yeye hakai hapa na kila akija anakaa mwezi na kuondoka? Anaogopa sana kutafutiwa mwanamke, maana ameona mifano ya watu waliotafutiwa wachumba na matokeo yake. Yuko kwenye cross roads. Hajui aanzie wapi? Wana JF, naomba tumpe ushauri! Please this is serious and we should stop jokes/ kejeri.