Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Aweke X kwenye kuoa au arudi nyumbani atafute mke hadi atakapo mpata.

You are making a point. sasa akija huku na kukaa muda mrefu kutafuta mke (tuseme mwaka) sasa na kule kibarua si kitaota majani? Huu kweli ni mtihani
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.

Anajua sana kutumia internet. He is seeking for advice from the Great thinkers. What should he do with the internet? Contacting Wema, Auntie ezekiel or .....
Nijuze tafadhali.
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.

He is not a member of JF
 
Mwambie aingie humu; atapata rafiki kwanza, then mchumba na mke ilimradi tu naye awe husband material... asilete usharoUS tu!

Good advice, noted and will be delivered! I am sure in few days he wil introduce himself!
 
unaposema anajaribu anashindwa unamaanisha nini? hapati mke au ndo anaoa na kuacha?

kama tatizo ni kukaa tanzania muda mfupi, aje akae muda mrefu atapata tu mke. suala la jogoo anawika au hawiki hilo haina haja ya kusema wakati huu. aje tanzania , kama kweli anania ya kuoa, atapata sababu ya kukaa tanzania miezi miwili. ninauhakika akirudi huko atakuwa amepata mchumba. kadiri anavyozidi kujionyesha kuwa yeye yupo bize , ndovyo atakavyo kimbiwa na wanawake.ni nani angependa kufanya maisha na mtu ambaye hata kwenye kutafuta huyo mchumba hana nafasi, je ktk ndoa itakuaje?


Thank you very much my bro/sister???? Point taken
 
Hii kali umesema hataki wa kutafutiwa sasa unatafuta ushauri gani hapa?! Nashindwa kutoa ushauri maana huwezi kumwambia mtu nenda holiday inn kajizungushe zungushe pale utaona tu vibinti vinaingia! Huyo jamaa apende asipende lazma ww/washkaji wamu-hook up na mtu mtakaeona labda wanaendana ajaribu bahati yk,kama yy mwenyewe hawezi kumendea lol.

Yeye ni zaidi ya Mende! Kutafutiwa ni kuwa yeye apelekewe US. Lakini kama ni kuja Tz na kuwa hooked na a lady, I think that is a good idea and he will support it.
 
Nenda kwenye makanisa ya walokole kule kuna wadada weengii wamekimbilia huko kuombewa kupata wachumba kuna walioahidiwa kupata wachumba so mcheki tu Nabii atakuunganisha na utakayempenda:lol:

Mmh kwa walokole, atakutana na watu kama yeye walio desparate! Sasa atamweza mlokole kweli? US na kushinda kanisani wapi na wapi?
 
Amavubi umenivunja mbavu! Acheni utani jamani mwenzenu anamtafutia kaka mke.....kuna mshkaji ana tatizo kama hili kabisaa na age ni hiyo2 na yuko US sasa duuuh imenishtua kidogo isije ikawa yeye.

Thank you kwa kunipa Shavu?

May be tunazungumzia mtu huyo huyo. hebu nipe initials zake za majina yake, nione kama ni yeye au?
 
Kuokoka waaapi ulidanganywa si king'aacho ni dhahabu dini si ishu kabisa mbona ndoa kibao za mseto watu wanapeta tuuu hakyanani nawaambia kule makanisa ya walokole ndo kwenyewe angalia idadi kubwa ya wanawake wanaoenda kule wengi ndo ishu hizo zinawapeleka wengine wametendwa na mabazazi so wamemkimbilia Mungu changamieni hiyo dili!!!

Asante kwa kunijuza. Ndio maana kwenye makanisa ya walokole idadai kubwa sana ya waumini ni wanawake (utafiti wa juu juu))
 
Good advice, noted and will be delivered! I am sure in few days he wil introduce himself!

Ila akijiunga asimention anything about you. Ataxiangamkiwa na pseudo wife material. LOL

But seriously akianza kujitambulisha kama mbeba mabox ataingizwa mkenge!
 
Hahahaaaaa uwiiiiiii mbavu zangu leo....hivi ni kweli haya mambo? Kuna siku nilikua naongea na Dr mmoja(mtu mzima) sasa ktk story kuna kitu tukawa tunabishana kuhusu bible nikamwambia nitoe tuangalie.....akaniambia heee mwenzetu unatafuta mchumba nn mbona unatembea na biblia! Yaani nilichekaaa sana,hv ni kweli mabinti wanakimbilia huko kwaajili ya kutafuta wachumba au ni msemo tu wa siku hizi??

Do, hiyo kali,. itabidi nimwambie brother aanze kutembea na BIBLIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom