Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Duuuuh, nimechelewa wapi tena mpaka kongosha kaniwahi??:pray::pray::pray::pray::pray::pray::pray:
 
Naelewa uzito wa Hoja yako. Ni kweli maisha ya unyamwezini ni full kukimbizana na not. Masaa 16 Mtu anachapa kazi na Masaa maw ili anayatumia kwa usafiri na masaa yaliyobaki anapumzika na maisha hayasogei usipojitutumua . Ni kawaida Mtu kuwa na kazi Tatu nne hasa wenzetunasisi ambao kazi zenyewe mbembechwa. Sasa nashauri kwamba ukipata Muda miduchu wa kuwa Bongo, tembelea viongozi wa Dini yako, wao Wanajua mengi kuhusu waumini wao, watakupa sapoti makini na si bure hata. Ndoa ya chapchap wataarange
 
Yeye mwenyewe ni Husband Material? Akienda Mwanza atakutana na cotton material, Tanga naUfundi MATERIAL, Mbeya na Hiv & aids material, .........................ooops Sumbawanga na Wanga Material, Arusha na Lema material, Kigoma na wese material, Shinyanga na Red Eyes materials......the list goes on and on


hehehehe...kwikwikwi mbavu zangu mie
 
Ha ha ha ha, naona kwenu mna shamba
nshawaambia huko kwetu sina kitu
mtu mwenyewe ana 40 wala hachoshi, maharage ya mbeya huo maji 1 tu kwisha habari yake
Wataka nihangaike na 30's wanakula hadi mifupa/

aku, shamwahi na nshamPM tena
Aaah, hivi si mwana jf, nshamwandikia Okada barua ya maombi na picha keshamtumia mhusika
Mfikirie ndugu yako, ila kongosho mkali
 
Ha ha ha ha, naona kwenu mna shamba
nshawaambia huko kwetu sina kitu
mtu mwenyewe ana 40 wala hachoshi, maharage ya mbeya huo maji 1 tu kwisha habari yake
Wataka nihangaike na 30's wanakula hadi mifupa/

aku, shamwahi na nshamPM tena
Aaah, hivi si mwana jf, nshamwandikia Okada barua ya maombi na picha keshamtumia mhusika


Khaaaaaa! Uko fasta madam kama helkopta. Aniwei hapa lazima iwe savaivo of the fitesti na mimi nitajaribu bahati yangu, nampigia okada sasa hivi kujipia promo na picha ya mwali nitamtumia.:lol::lol:
 
mshauri aache kuchagua sana, wakati mwingine wanaume na hata wanawake wanaweke vigezo vingi ambavyo kwa kweli kupata mtu mkamilifu kiasi hicho inakuwa ni almost ndoto, na hapo ndio mwanzo wa kugonga 40 kabla ya kuoa/kuolewa. na hata ukipata mwenye vigezo unavyotaka wewe usisahau nae huyo ana vigezo vyake ambavyo pengine wewe huna, la msingi ni kutafuta mmoja aanze urafiki na hatimae atoe hoja ya kuoa ukipata mtu mna match kwa 50% mchukue tu mambo mengine mtarekebisha humohumo ndani ya relationship ukitaka wa 100 % utamtoa wapi? na hata ukimpata je nae yuko tayari kuwa na wewe???
 
huyu bro ana matatizo, kwanza kashakuwa kikongwe, labda atafute mjane aliyefiwa na mume maana na yeye keshatanga sana
 
Nahisi huyo kakako atakuwa ni domo zege,
Mwambie aje hapa Tanzania na akae kwa muda kumtafuta na kumchunguza mwanamke atakayemfaa kuwa mke mtarajiwa.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom