Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

States mbona mashosti wa kumwaga? Mwambie ajimix, aache mambo ya kikabila mashosti wa States wapo poa zaidi.
 
Mke mzuri na mtamu ni yule uliemtongoza mwenyewe, ukamchumbia mwenyewe. Wa kutafutiwa hanogi kabisaaa. Mwambie aje achakarike mwenyewe
 
Wish nimsaidie, kuna kabinty ningemuwekamo hapa. binty amesettle yule ila duh 40s uko jaman! embu nipe muonekano wake wa nje bs.
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.


Amekaa usa miaka yote hiyo anashindwa kutumia net na kuingia jf mwenyewe?wabongo bana kila kitu shotkut
 
he unataka mtoto?
Kaa na mtu mzima akulee full vakesheni.
Ila nshamuwahi

Kongosho,mada yangu ya vekesheni ulinipinga vikali...kumbe na wewe uko humo humo...kibabu kiwe cha kiafrica kiwe kizungu..whats the difference?
 
Hii siyo siri hata mimi sijaoa 35 naenda 36!. Washichana wetu wa kibongo huku wamecheza sana hawana elimu, kutembelea wanaume tofauti na usister do mwingi sana ingawa ni wa zuri kwa sura!. Kama mimi mfano nimejitahidi ku avoid uhuni, nimeenda shule, nina paper, familia nzuri, kazi nzuri, na my looks ni above average 6'2 lakini bado kupata Mtanzania ni vigumu sana hapa hasa kama uko private. Tanzania ni vizuri zaidi tatizo ni kwamba kama unategemewa kazini ni vigumu kuchukua likizo ndefu na ni vigumu kujuana na mtu kwa muda mfupi! Hili nitatito kubwa sana lol! mfano kwangu sasa Mke ni tatizo kuliko pesa !!. Wanawake wetu waliokuja zamani ni bora wamarkani! lakini kama wamekuja watu wazima kidogo kama kujiendeleza lkielimu ni bora zaidi!
 
Jamani nifafanulieni maana nimeachwa, mwanamke material ni wa aina gani?
 
Mwambie kaka aweke tangazo kwenye ze gadian, deilnyuz na ze sitizen kua anataka wife matirio.
Ataje sifa anazotaka,
then watu wafanye intavyuu apatikane wife matirio.
Ila akubali matokeo.
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.

Wananikeraga hawa watu,kwani wakisema ni wao kwani kuna tatizo gani?
 
still not conviced
ila nimegundua dot com ndo lugha mnayoielewa
kila nikitaka kukuwadi lazima nitumie vakesheni

yaani hadi leo hujajua tofauti ya kibabu cha kiafrika na kizungu?
Hutakaa ujue hata nikikueleza kwa maneno
fanya utafiti wa vitendo afu niPM kwa majibu

Kongosho,mada yangu ya vekesheni ulinipinga vikali...kumbe na wewe uko humo humo...kibabu kiwe cha kiafrica kiwe kizungu..whats the difference?
 
Ana shiling/dollar ngapi au ndo kakutuma uje kumfagilia njia kwani amehama kule ulongoni? karibu na yule mama wa kichaga muuza mbege?ila Aliniomba nimchekie geto la bei poa ,ila mwambie bado kidogo linarudishiwa udongo. Anadai kule anakopoa kunavuja kishenzi
 
Wengi wao wanatarajia wake zao watakuwa kama walivyokuwa mama zao. Wrong.

Wake waliokuwa kama mama zenu, wakupika, kufuwa, kukulea wewe na wanao siku hizi hata Tanzania hawapo.

Nyie vijana mnaoishi nje nawaasa muoe hukohuko na msije mkaumiza roho zenu kwa kutarajia huku mtawapata watumwa. Huku kwa sasa wanawake ni tofauti na mlivyoona mama zenu. Kama unabisha muulize YD wa Houston. Kiko wapi?
 
Jamani nifafanulieni maana nimeachwa, mwanamke material ni wa aina gani?
Wewe tayari total umedisco, maana ungekuwa ni wife material usingeachwa, ni wewe ndio ungemuacha mwanamume, kwa hiyo un supplement 2 za kufanyia kazi kabla hujaingia kwenye kundi la wife material, labda kwa kukusaidia tu hizi supplement zako ungetueleza sababu za wewe kuachwa, weka mambo hadharani tukusaidie.
 
Hana hata wa kusingiziwa. His past lovers in Tanzania are either married or dead (too sad)!!


Mwambie aje nimpe mpenzi mwenye kila kitu. Ila tu aokoke na ampende Yesu na kumfanya awe mwokozi wa maisha yake. Akiwa tayari aniPM. I am serious. Kuna kitu sijaelewa hapa mwenzenu hii material ina maana gani? Sisi wa village flavour kuelewa kwetu ni ngumu.
 
Mwambie aje nimpe mpenzi mwenye kila kitu. Ila tu aokoke na ampende Yesu na kumfanya awe mwokozi wa maisha yake. Akiwa tayari aniPM. I am serious. Kuna kitu sijaelewa hapa mwenzenu hii material ina maana gani? Sisi wa village flavour kuelewa kwetu ni ngumu.
Kwahiyo unamaanisha hujui kama kuna Husband material pia? that's means unaweza kuolewa hata na kwaya master wenu kisa ni mlokole mwenzako?
Sasa nakupa darasa rahisi ambalo hata kiziwi na kipofu ni lazima aelewe.
WEMA SEPETU sio wife material
STARA THOMAS ni wife material

DIAMOND THE PLATINUMS sio Husband material
Ay ambwene Esaya ni Husband material.
 
Yeye mwenyewe ni Husband Material? Akienda Mwanza atakutana na cotton material, Tanga naUfundi MATERIAL, Mbeya na Hiv & aids material, .........................ooops Sumbawanga na Wanga Material, Arusha na Lema material, Kigoma na wese material, Shinyanga na Red Eyes materials......the list goes on and on

A woman can easily make a man to be a husband material.,...
My God, kwa mtaji huo ataogopa kabisa hata kujaribu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom