Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 454
acha upuuzi. au unadhan kila aliyemo humu hajui kinachoendelea nyuma ya pazia??Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..