Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Povu!!!
 
Naona umepata tabu sana

Na utaendelea kupata tabu sana Lissu anarudi si kitambo utaama nchi na tena 1/8/2018 ya dada wa taifa inakaribia,nahisi utakupa kwa shock

Huyo wa tarehe 1 mtayarishieni ambulance.. maana pigo la lile la 26th alizimia akapata bahati akazinduka.. huyo anaga analofanya na kufanikiwa

Siku hizi karudi kwenye udaku na kutukana kwa kutumia akaunti zake 2 zingine kizaidi huko insta.. ya main anaogopa watu kama nyie msiojua kumsoma kumkimbia.. anawateka kijinga nanyi mmo.. mtu huyo eeeh
.. kila aiku anaandika upupwu na kuchangisha pesa iki aishi kwa kupitia majina ya wakina kama wewe..

Huyo Lissu jimboni ndiko anahitaji kwenda.. anaafa jimbo 2020..
 
Bora uyo Dada akahachana kabisa na izo habari, hazina credit kwake kabisa......I'm out
 
Naona umepata tabu sana

Na utaendelea kupata tabu sana Lissu anarudi si kitambo utaama nchi na tena 1/8/2018 ya dada wa taifa inakaribia,nahisi utakupa kwa shock
Achana na huyo mama wa Lumumba.Kichwa kikubwa akili kwenye kisoda!
 
I like Miss Karume, but self promotion is tacky.
Karume ni kama Zitto Kabwe na wengine...Self-worshiping self-important self-elevated self .... always thinking they need to 'correct' something or someone...
 
Karume ni kama Zitto Kabwe na wengine...Self-worshiping self-important self-elevated self .... always thinking they need to 'correct' something or someone...
Mimi hata sina tatizo na watu wakosoaji, in fact naona taifa letu tatizo lake si kwamba lina wakosoaji engi, tatizo lake halina wakosoaji wa kutosha.

Hivyo, wakosoaji sina tatizo nao, as long as wanakosoa sawa, wanafanya homework zao, wanakosoa kwa facts.

Na hata mtu akitaka kuimba mashairi ya kumsifia mwingine, ni sawa, tutayachambua na kuyakosoa kama yana makosa.

Ila, mtu anapojitungia mashairi ya kujisifu yeye mwenyewe, mtu kama mwanasheria anayetakiwa kujua ubaya wa kuonekana wazi anafanya self promotion, ananiambia kwamba hana influence ya kutosha kufanya wengine wamuimbie mashairi ya kumsifia yeye.
 
Back
Top Bottom