Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Mi nilicho penda hapo ni hiki; yaani hao ...wa taifa, mgawanyo umekwenda vizuri kabisa, yaani uwakilishi wa kikanda umefanya kazi vizuri; pwani tu ndio haijatoa mtu, nyanda za juu kusini kuna Mkwawa, kanda ya ziwa kuna Nyerere, kanda ya kati kuna Lissu, kaskazini kuna da Mange na visiwani tumewakilishwa na da Fatma; safi sana na nina unga mkono HOJA hi, tena ipite kabisa.
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..

Umeongea point....tatizo la watanzania kuna wajinga wengi nchi hii, mtu anaandika upuuzi utashangaa watu wanashindwa hata kufikiri wanachekelea na kusupport ujinga huo. Binafsi nashangaa kipi katika alichoandika Fatma kimeenda shule. Yaani kwa kuwa mtu kasoma Uingereza basi aungwe mkono hata kama anaandika ujinga? Eti Mange na Lissu ni dada na kaka wa taifa?
 
Hivi hao mashangazi si ndio jiwe alisema atawafumua.
 
Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Sijui macho yangu ndio hayaoni vizuri; mi nimeona mpinzani hapo ni mmoja tu yaani Tundu Lissu but wengine wote hao ni ccm; hilo la upinzani mkuu we umelitoa wapi!? Mange aligombea hadi ubunge Kinondoni through ccm, Mkwawa siwezi mzungumzia sana cause aliishi kipindi kabla na wakati wa ukoloni (labda kamauna maana ya yeye kuupinga ukoloni ni sawa na kuipinga ccm), huyo Fatma as nijuavyo nae ni ccm vile vile, halafu Nyerere ndio mwasisi wa ccm; sasa kuwepo mtu mmoja tu wa upinzani ndio ukasirike mkuu? Sio fair bwana.
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Pumba tupu,yule mwanamke amekuzidi kila kitu,japo sura yako mbovu hatuijui ila uzuri humfikii hata tone
 
Hii nchi mnataka kuifanya kama ile ya malkia, yaani kupeana peana tuuu

shubaaaaamiti......!
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Hii sindano imakuingia kisawasawa.
 
Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Mdogo wangu kuna muda utani lazima uwepo

Kikwete akitaka kula lazima uliwe hiyo ilikuwa ni kauli ya raisi.
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
True
Ana matatizo makubwa huyo dada!
Haswa home kwake!
Acha ajiridhishe nafsi yake jamani, masikini!
 
Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Duh!
 
hiyo account nadhani ni fake! Shangazi wa taifa anaakili kubwa sana ingekuwa washaverify account yake.
Nenda tweeter kaitafute uje utupe mrejesho.
 
Umeongea point....tatizo la watanzania kuna wajinga wengi nchi hii, mtu anaandika upuuzi utashangaa watu wanashindwa hata kufikiri wanachekelea na kusupport ujinga huo. Binafsi nashangaa kipi katika alichoandika Fatma kimeenda shule. Yaani kwa kuwa mtu kasoma Uingereza basi aungwe mkono hata kama anaandika ujinga? Eti Mange na Lissu ni dada na kaka wa taifa?
Mweeeee kwa hiyo account zote za watu naarufu zipo verified? Nenda tweeter kaanglie kule uje hap utuambie
 
Back
Top Bottom