unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Una akili kiduchu sana!
Mkiambiwa akili zenu ni kiduchu hamuelewi kwa sababu hamna akili...hayo ni maoni ya Fatuma Karume, na kimsingi amechanganya na "utani kidogo" halafu wewe unamiza kichwa. Basi 'kaka wa taifa ni wewe' na 'shangazi wa taifa ni mkeo'.....haya furahi sasa...jinga kabisa!Du wakili na Rais wa TLS unaandika hili Afu wewe nawe unaanza kufikiria kiupinzani badala ya kutumia akili utashi na umri wako. Nipe sifa za hao Watu Afu then tuone UTAIFA .... mchango wa mkwawa na Nyerere vs kaka dada
Miccm bwana!!!Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Hah hah hah hah , just hah hah hah hahBaba Jesca mwanaume wa taifa!
Baba Jesca mwanaume wa taifa!
Uingereza hii hii iliyotafunwa na Croatia jana!? Au unamaanisha ile iliyopo sayari ya Mars!Fatuma ni akili kubwa yupo kwenye viwango vya uingereza
Nabii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kwa mujibu wa bashiteMagufuli ni nani wa Taifa?
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake alisema wanaume Ni wale wa Wazee wa makinikia ...kwahiyo muondoe hapoBaba Jesca mwanaume wa taifa!
hahaha muda simrefu " atawatuma idara ya uhamiaji " wa muhoji kuhusu Uraia wake "" ilahali anajua wazi kuwa Fatuma ni Binti karume "".. hajawahi kuwa timamu yuleHili dongo hilii
kwa mtu
Mtu ananunua mandege, anajenga mabarabara, matreni na mastrigo joji sijui halafu hayupo kwenye List yako ya "Ushujaa"?
Ha hah haha ....amekoma aiseee...Mkiambiwa akili zenu ni kiduchu hamuelewi kwa sababu hamna akili...hayo ni maoni ya Fatuma Karume, na kimsingi amechanganya na "utani kidogo" halafu wewe unamiza kichwa. Basi 'kaka wa taifa ni wewe' na 'shangazi wa taifa ni mkeo'.....haya furahi sasa...jinga kabisa!
hahaha my foot ...so wataka kuniambia kuwa mzee baba atakuwa ni James CameroonYeye mwenyewe kwa kinywa chake alisema wanaume Ni wale wa Wazee wa makinikia ...kwahiyo muondoe hapo
Itakuwa Omani... hawa wanyamwezi hawa,,, mateka ya sultan yana shida sanaShangazi wa Taifa gani Tanganyika Au Pemba?
Wewe ni mjomba wa taifa