Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Mgawanyo wa kazi usikufanye kuwa na dharau, kama yeye mwalimu wa nursary wewe inakuhusu nini? Kwa taarifa yako hata wenye elimu na kazi nzuri wapo hapa na huo uchawi unaoongelea ni mawazo ya kizamani, inamaana wewe bado una fikra za miaka ya 70, OK Mimi Nina masters nafanya kazi hapa Sumbawanga, wewe una elimu gani na unafanya kazi wapi kusikowachawi? Don't be ignorant!

Achana naye huyo
 
Sanaaaaa hasa wa maji baridi,hawa wa maji chumvi nakula ni vile sina jinsi.
Na kuku wa kienyeji wapo kwa wingi eeeh?
Kuku wa kienyeji wapo wakutosha Nifah ukifika huku hauta ondoka naamini ivo
 
Yan huku bwana ukitaka uone uchawi wako wakujifunza utakutana na waliozaliwa nao ila kama utsfika ukatulia na mambo yako hutosikia maswala ya uchawi bali wanajuana wenyewe kwa wenyewe
 
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg

Hakuna foleni
njoo huku.

Barabara%2BSumbawanga.jpg

Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg

Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
Je mambo ya kutumiana radi yameisha siku hizi?
 
Pongezi kwa mleta mada hii. Nimepamisi sana Sumbawanga kwa kweli. Ni mji ulio bondeni vile huku umezungukwa na milima kwa mbali. Niliishi hapo kati ya 1990 na 1992 nikipiga kitabu Kantalamba high school intake ya kwanza ya Form Five. 1993 nilitumikia JKT Luwa hapo hapo Swanga. Kiasi kikubwa palishakuwa kama nyumbani kwetu vile. Namisi Chanji, Kizwite, Majengo, Bangwe, na Mazwi. Nadhani kufikia wakati huu patakuwa pamebadilika sana. Baada ya miaka yote hii ngoja nirudi huko,nifanye utalii wa ndani. Vipi bandari ya Kasanga ikoje kimiundo mbinu kwa wakati huu?
 
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg

Hakuna foleni
njoo huku.

Barabara%2BSumbawanga.jpg

Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg

Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
Ndugu yangu habari yako nimeipenda sana tafadhali ni PM tuwasiliane vizuri
 
Back
Top Bottom