Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg

Hakuna foleni
njoo huku.

Barabara%2BSumbawanga.jpg

Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg

Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
Uchawi Wa kuwasumbua watumishi wameacha?
 
Mpui ni kijijini mno ..kama vp ashukie Laela bhana...laela ni mjini kuliko hata sumbawanga mjini
Hahahaaaaa mkuu laela, mpui, ikozi (ikonzi) kalambanzite wote ni wale wale , Alafu hapo laela huwa mnatuuzia nyama ya punda nyie { kiding}
 
Uchawi Wa kuwasumbua watumishi wameacha?
Kwenye kati ya mwaka 2003 au 2005 kuna kijiji kinaitwa kalampanzite mwewe alibeba dume la ng'ombe alafu akawa anadondosha mifupa tu chini,

Mean while nina mwezi wa sita kikazi huku lakin sijawahi kutana wala kushuhudia hayo mambo, nadhani ilikua zamani
 
Jichanganye tu utawajua wafipa, waulize walimu na madaktari ndo wanajua uhuni Wa wafipa ikifika usiku
 
ila kinachonishangaza mabinti wa huku wakisikia tu unatokea nje ya sumbawanga hasa mbeya yupo radhi awe hata mke wa sita
 
Mchukue hafu umuache uone kama utaishi hapo Swanga mabinti wengi Wa kanda ya Nyanda za juu ni warahisi sana huitaji kutumia msuli
 
sumbawanga hakuna uchawi kama watu wanavyofikiria mimi nimezaliwa ngorotwa kijiji walichovumisha kuwa mwewe kabeba ng'ombe, s/m mpui maeneo ya stendi ss kaengesa seminari advance kantalamba sijawai sikia au kuona mtu kafa kwa kulogwa.
 
Hahahaaaaa mkuu laela, mpui, ikozi (ikonzi) kalambanzite wote ni wale wale , Alafu hapo laela huwa mnatuuzia nyama ya punda nyie { kiding}
Hapana ndg hakunaga tabia hizo ..hiyo tabia ya kuwalisha watu punda iko sana maeneo ya kazi katonto chianda hadi kaengesa ..nakumbuka 1993 wakati nafanya kazi kampuni ya SIETCO LTD iliyokuwa inajenga barabara kutoka Tunduma hadi Sumbawanga kwa kiwango cha changalawe tuliwahi lishwa nyama ya punda pale kaengesa darajani ..kiukweli niliudhunika mno ..Laela tuko smart bhana
 
sumbawanga hakuna uchawi kama watu wanavyofikiria mimi nimezaliwa ngorotwa kijiji walichovumisha kuwa mwewe kabeba ng'ombe, s/m mpui maeneo ya stendi ss kaengesa seminari advance kantalamba sijawai sikia au kuona mtu kafa kwa kulogwa.
Hakuna uchawi.

Uchawi ni imani inayotokana na ujinga.
 
Hapana ndg hakunaga tabia hizo ..hiyo tabia ya kuwalisha watu punda iko sana maeneo ya kazi katonto chianda hadi kaengesa ..nakumbuka 1993 wakati nafanya kazi kampuni ya SIETCO LTD iliyokuwa inajenga barabara kutoka Tunduma hadi Sumbawanga kwa kiwango cha changalawe tuliwahi lishwa nyama ya punda pale kaengesa darajani ..kiukweli niliudhunika mno ..Laela tuko smart bhana
Alafu jitahidini umeme uwake hapo kaka, mbona naona nguzo zimesimama tu mmepitwa hadi na malolwa porini kabisa kule.

Ila kuna kale kamfumo wanakokatumia vijiji vya katikati hapo ( mfano muungano kama sijakosea) nimekapenda sana, mna organise nyumba 10-20 mnafunga mashine yenu ya solar, so creative
 
Labda ktk bajeti ya mwaka huu wanaweza kutufikilia..lkn mkoa wetu umesahaulika mno na serikali ya ccm ..ndo maana naichukia kinoma ..wafipa jamani tubadilike ..sisi laela tumeanza kuwakataa ccm
 
Nguvu zozote za giza zisizo za kubinadamu ni uchawi... Hawa wachawi wanaodondoka kila siku usiku ni nini... Au hutizami habari. Albino wanaokatwa viungo...biashara za majini za ndugu zetu walee...
Thibitisha.

Unajuaje kwamba huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho hujakielewa tu?
 
Nguvu zozote za giza zisizo za kubinadamu ni uchawi... Hawa wachawi wanaodondoka kila siku usiku ni nini... Au hutizami habari. Albino wanaokatwa viungo...biashara za majini za ndugu zetu walee...
Nguvu za giza ni zipi?

Wachawi wanaodondoka unawaona wanavyodondoka?

Katika nchi ambayobina daktari mmoja kwa kila watu 40,000 na wataalamu wa afya ya akili walio wachache zaidi unajuaje kwamba huyu kaanguka kwa uchawi na huyu ana matatizo ya akiki tu?

Biashara ya majini mjanja yeyote anaweza kuifanya kwa kushikia watu akiki kama mchezo wa karata tatu. Utasema karata tatu ni uchawi?

Albino kukatwa viungo ni uthibitisho wa kuwepo kwa uchawi? Kwa nini isiwe ni uthibitisho wa kuwapo kwa ujinga wa kuamini uchawi usiokuwepo?
 
Mkuu nenda Kigoma Ujiji katembee na mke wa Mtu.... Utaisoma namba.
 
Hapana. Ukitembea na mke wa mtu unaweza kuuawa kwa kisu, jambia, bunduki H.I.V etc.

Wewe unaweza kuona mtu mzinzi katembea na mke wa mtu kapata gono ukasema kalogwa. Kwa kuwa unaamini uchawi.

Wakati gono linaelezeka bila kuhitaji uchawi.

Kisha, wewe ndiye unayetakiwa kithibitisha uchawi upo. Usinipe kazi hiyo mimi.

Unaweza kuthibitisha kwambabuchawi upo?
 
Aiseee.... cc. mshana jr
 
Back
Top Bottom