Yule mze noma sana, kwa kuchezea vijiti tu na matunguli kweli hajambo. Ana sifa mbaya sana Kigoma alivyokuwa mkuu wa mkoa Enzi hizo.

Upo japo sio saanaUchawi Wa kuwasumbua watumishi wameacha?
Duuuh!! Iyo ishu ilitutisha ata sisi wazawa wa huku aiseeeKwenye kati ya mwaka 2003 au 2005 kuna kijiji kinaitwa kalampanzite mwewe alibeba dume la ng'ombe alafu akawa anadondosha mifupa tu chini,
Mean while nina mwezi wa sita kikazi huku lakin sijawahi kutana wala kushuhudia hayo mambo, nadhani ilikua zamani
Hiyo Ni sababu wanaume wa kifipa wanavitabia vya ajabu ndo maana![]()
![]()
![]()
![]()
ila kinachonishangaza mabinti wa huku wakisikia tu unatokea nje ya sumbawanga hasa mbeya
![]()
![]()
![]()
![]()
yupo radhi awe hata mke wa sita
sumbawanga hakuna uchawi kama watu wanavyofikiria mimi nimezaliwa ngorotwa kijiji walichovumisha kuwa mwewe kabeba ng'ombe, s/m mpui maeneo ya stendi ss kaengesa seminari advance kantalamba sijawai sikia au kuona mtu kafa kwa kulogwa.

Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia Sumbawanga
Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.
Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.
Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia
Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.
Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.
Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.
![]()
Hakuna foleni
njoo huku.
![]()
Ukichelewa shauri zako.
![]()
Plot utapata kwa sh laki tatu..
Sasa unafanya nini huko mjini?
Majuto ni mjukuuu
KasangaUko sahihi mimi nitakuja maana Kasanga Ziwani nakupenda kinoma eti
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?
aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Vitabia vipi kwa mfano?Hiyo Ni sababu wanaume wa kifipa wanavitabia vya ajabu ndo maana
Umeamini biti alilompiga mwenzie hadi uombe akuunganishie uhamisho?Mkuu, mimi nashida ya kufanya mpango wa kuhama Kituo cha Kazi..Nataka kuhamia DODOMA(RAS DODOMA).....
Naomba tuwasiliane( nimejaribu kukutafuta PM imegoma)
Thanks in Advance

Mzindakaya amewekeza ana Ranch kubwa..pia ana Export nyama mkuuMleta mada usipende kuwatoa wenzako toba. Kama umekula hela za wafipa tafadhali warudishie wenyewe usitake kutuuza kwa kutuambia tuje huko kutafuta maisha wakati wafipa wenyewe kina Mzindakaya, Pinda wamekukimbia kwao. Huko noma aisee, watu wanafanya shopping chini ya ziwa Tanganyika na kwenda juani (sayari ya jua) kununua radi ya kuwapigia adhabu wenzao, si hatari hii? Baki peke yako huko na roho yako ngumu.
Kwani maisha yapo sumbawanga tu,hilo swali jiulize wewe unaokaa nao huko sumbawanga...Kuna watoto ,tena wa Kike wametoka Kenya na wanachangamkia fursa huko.....
Kati ya wajukuu zao na wajukuu wako.... nani atafanya kazi kwa mwenzake?
mkuu dagaa wa kigoma wapo huko?Mkuu Dhamani ya Ardhi hupanda kila mwaka.
Hata unijie na karandinga, Dar sing'oki ng'oooooooooooooo. Raha za makange ya pweza na redbull baridi nani aziache?