Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Kutoka mby hadi tunduma ni saa 1 kutoka tunduma hadi laela ni masaa 2 kutoka laela hadi sumbawanga ni saa 1..natokea mkoa wa Rukwa ktk mji mdogo wa laela ...yamposuta..mwatwima kani
 
Mleta mada usipende kuwatoa wenzako toba. Kama umekula hela za wafipa tafadhali warudishie wenyewe usitake kutuuza kwa kutuambia tuje huko kutafuta maisha wakati wafipa wenyewe kina Mzindakaya, Pinda wamekukimbia kwao. Huko noma aisee, watu wanafanya shopping chini ya ziwa Tanganyika na kwenda juani (sayari ya jua) kununua radi ya kuwapigia adhabu wenzao, si hatari hii? Baki peke yako huko na roho yako ngumu.
Hapana mkuu mzindakaya anaishi sumbawanga hajahama eneo analo ishi linaitwa majengo kilimani
 
Hats Mimi ntatidi swanga one day! 32 yes ago I was a kid in sumbawanga residing at regional block. Nilianza std one jangwani pr school. Mama angu akifundisha s/m sumbawanga. Nataka nitembelee kanisa katoliki nilisali sana pale. Ntapita shuleni kwangu, ntakwenda s/m sumbawanga waliposoma my elder sister, my late elder brother and my late mother. Ntakaa chini ntalia kwa uchungu sana kwa heshima yao. Ntapita katandala nasikia ni mji sasa hivi. Ntaibukia regional block halo nadhani furaha yangu itakuwa kubwa sana ntazunguka pale pots. King'ombe mbali ila kuna siku tulienda cheza karibia na king'ombe. Tutakaa chini ya mti mkubwa tunachezea Magari ya waya bila kujua kumbe kulikuwa na mtu kajinyonga ananing'inia. Tulitika bila kujua ila baada ya masaa mawili kuna mama alituona halo kwa mbali akaja kutuambia. Sikulala wiki nzima naogopa
Mkuu ulisoma jangwani kumbe ila sasa ivi ile shule ili gawanywa moja iliitwa jangwani na nyingine kiwelu sijui unalijua hilo
 
Ntapita noremco Sijui km bado panaitwa hivyo, mpango kabambe wa maji. Kwa juu yupo Bainz, matajiri Wa swanga enzi hizo. Tukitaka suti viatu kwa Bhojak! Hahaaa. Izia kizwite, bangwe. Chanj, swanga wenyeji. Halafu watani zangu wafipa nataka migagi, nyanya poli na nyanya mpwimpwi. Hahaaa msininyime nswa.
Mkuu umekisahau chikanda chakula maarufu sumbawanga wenyeji wanaita nyama ya kifipa nitamu hamna mfano
Ntapita noremco Sijui km bado panaitwa hivyo, mpango kabambe wa maji. Kwa juu yupo Bainz, matajiri Wa swanga enzi hizo. Tukitaka suti viatu kwa Bhojak! Hahaaa. Izia kizwite, bangwe. Chanj, swanga wenyeji. Halafu watani zangu wafipa nataka migagi, nyanya poli na nyanya mpwimpwi. Hahaaa msininyime nswa.
 
Aiseee,hongera mkuu,kilimo ndo mpango nzima,maana mishe tulizokuwa tunatamba nazo town zimezibwa...ngoja nijipange nitie maguu huko.
 
Kutoka mby hadi tunduma ni saa 1 kutoka tunduma hadi laela ni masaa 2 kutoka laela hadi sumbawanga ni saa 1..natokea mkoa wa Rukwa ktk mji mdogo wa laela ...yamposuta..mwatwima kani
WATUIMA CHA INN CHA MUNG'WANDA
INSUTEE
 
Back
Top Bottom