Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Kuna mchaga alikuja akiwa masikini kwa sasa ana uwezo wa kununua Volvo truck n trailer mpya km 0.
Mimi nakaribia kustaafu na si mwalimu.
Kwa kifupi uoga wako ndio umasikini wako.
Huyo mchaga mliongea nae akakwambia anaweza kununua VOLVO! Heb acha nkubal kua uoga wang ndo umackn wang ila tambua hatuish kwa kuangalzia kama kwny chumba cha mtihan na hatuwez kuja wote maana kutusua co lazma watu waje huko, huon jiji kama la Dar watu wakpungua mandhar yataharbka!!
 
Mgawanyo wa kazi usikufanye kuwa na dharau, kama yeye mwalimu wa nursary wewe inakuhusu nini? Kwa taarifa yako hata wenye elimu na kazi nzuri wapo hapa na huo uchawi unaoongelea ni mawazo ya kizamani, inamaana wewe bado una fikra za miaka ya 70, OK Mimi Nina masters nafanya kazi hapa Sumbawanga, wewe una elimu gani na unafanya kazi wapi kusikowachawi? Don't be ignorant!
Mkuu hili game halihtaj hasira heb pumua kwanza af futa jasho, hongera kwa kua na Masters na hongera kwa kufanya kaz maana vyote n vyako.
 
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg


Hakuna foleni
njoo huku.


Barabara%2BSumbawanga.jpg


Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg


Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
waache wakomae na jiji,kizazi chetu kimelaaniwa aisee,kila kijana anataka ake dar eti ndio mjanja,wakirudi mikoani wanakuta watu wamepiga hatua wanaona noma kwa kujichelewesha huko mjini,mwisho wanaamua kubakia jijini na kuwa WANAUME WA DAR,bandiko zuri sana hili mkuu,nimefurahi kwa kufunguka na kuwa wazi kwa watanzania wenzako wanaopenda kubanana DAR,huwa siwaelewi kabisa..
 
Nilifika sumbawanga kikazi na nikaweza kulima vitunguu heka mbili ni sehemu nzuri na salama, tatzo tu vijana wa huko si waaminifu sana, nilipenda hali ya hewa... Ni sehemu nzuri kuishi ila ngoja nijenge DAR kwanza nitastaafia hata pwani ila si sumbawanga... Huko tutasaka fursa na kivulini tutalia dar/pwani
 
huko noma watu wanazuia mvua wanazuia jua mtu anaweza akaleta mvua shambani mwake tu jua linauzwa kwa ajili ya kukomoa watu ukimkera mtu jiandae kutumiwa radi ni kitu cha kawaida sana
mimi nahisi jamaa amemaanisha mikoani kwa ujumla kuna fursa,sio kila mtu lazima aishi dar tu,pia acha kuendekeza ushirikina,hiyo ni dalili ya uvivu,kwaio unaona kuishi dar kwa kufanya ukuwadi ndio ujanja?amka bado haujachelewa mkuu..HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.
 
Kifupi mkoa wetu uko nyuma kimaendeleo..na hii kwakuwa wanaipenda kuichagua sana ccm..ccm sehem ambayo wanapita bila upinzani wa maana huwa hawapeleki maendeleo ...wafipa wenzangu tubadilike ..sumbawanga bila ccm inawezekana kabsa
 
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana

Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo

Gharama za ujenzi ni nafuu.

Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia

Nafikiri kustaafia Sumbawanga

Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.

Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.

Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia

Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.

Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.

Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.

IMG_0543.jpg


Hakuna foleni
njoo huku.


Barabara%2BSumbawanga.jpg


Ukichelewa shauri zako.

57195139.jpg


Plot utapata kwa sh laki tatu..

Sasa unafanya nini huko mjini?

Majuto ni mjukuuu
Umeandika kama utani lakini umenigusa sana, ni poiti tupu tunangangania viosk mjini badala ya kurudi kupiga kazi za kueleweka mjini. Nina milioni kumi nafanya tafiti ni kilimo gani kati ya alizeti, ufuta, njegere n.k. kitanitoa na sehemu gani kwenye mikoa ambayo haijabanana kati ya lindi, morogoro, pwani na sumbawanga
 
Back
Top Bottom