Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Hats Mimi ntatidi swanga one day! 32 yes ago I was a kid in sumbawanga residing at regional block. Nilianza std one jangwani pr school. Mama angu akifundisha s/m sumbawanga. Nataka nitembelee kanisa katoliki nilisali sana pale. Ntapita shuleni kwangu, ntakwenda s/m sumbawanga waliposoma my elder sister, my late elder brother and my late mother. Ntakaa chini ntalia kwa uchungu sana kwa heshima yao. Ntapita katandala nasikia ni mji sasa hivi. Ntaibukia regional block halo nadhani furaha yangu itakuwa kubwa sana ntazunguka pale pots. King'ombe mbali ila kuna siku tulienda cheza karibia na king'ombe. Tutakaa chini ya mti mkubwa tunachezea Magari ya waya bila kujua kumbe kulikuwa na mtu kajinyonga ananing'inia. Tulitika bila kujua ila baada ya masaa mawili kuna mama alituona halo kwa mbali akaja kutuambia. Sikulala wiki nzima naogopa

mkuu jangwani mwaka gani nilisoma pale
 
Pongezi kwa mleta mada hii. Nimepamisi sana Sumbawanga kwa kweli. Ni mji ulio bondeni vile huku umezungukwa na milima kwa mbali. Niliishi hapo kati ya 1990 na 1992 nikipiga kitabu Kantalamba high school intake ya kwanza ya Form Five. 1993 nilitumikia JKT Luwa hapo hapo Swanga. Kiasi kikubwa palishakuwa kama nyumbani kwetu vile. Namisi Chanji, Kizwite, Majengo, Bangwe, na Mazwi. Nadhani kufikia wakati huu patakuwa pamebadilika sana. Baada ya miaka yote hii ngoja nirudi huko,nifanye utalii wa ndani. Vipi bandari ya Kasanga ikoje kimiundo mbinu kwa wakati huu?
BARABARA YA LAMI ITAFIKA KULE MUDA SI MREFU ZIMEBAKI KILOMITA CHACHE SANA MKUU OFCOZ UKIRUD UTAPOTEA KIDOGO KUNA MAENEO MAPYA YALOKUWA KWA MUDA MFUPI KAMA KASISIWE,KASWEPEPE,SOKOLO,KISIWANI,KATUMA,KASHAI,UTENGULE ETC
 

Attachments

  • IMG_0976.JPG
    IMG_0976.JPG
    215.2 KB · Views: 257
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Unajua kuumba herufi kinoma.
 
Maana ya Sumba ni =tupa
Wanga ni =Uchawi
Pinda...Nabii hakubaliki kwao manake wenyeji wana password yake.
Ushuhuda
Kuna mchaga alikuja akiwa masikini kwa sasa ana uwezo wa kununua Volvo truck n trailer mpya km 0.
Mimi nakaribia kustaafu na si mwalimu.
Kwa kifupi uoga wako ndio umasikini wako.
Pinda sio mtu wa Sumbawanga ni mtu wa Mpanda mkoa wa Katavi.
 
BARABARA YA LAMI ITAFIKA KULE MUDA SI MREFU ZIMEBAKI KILOMITA CHACHE SANA MKUU OFCOZ UKIRUD UTAPOTEA KIDOGO KUNA MAENEO MAPYA YALOKUWA KWA MUDA MFUPI KAMA KASISIWE,KASWEPEPE,SOKOLO,KISIWANI,KATUMA,KASHAI,UTENGULE ETC

Shukrani Mkuu. Maeneo hayo yote uliyoyataja ni mageni kabisa masikioni mwangu. Sisi wa zamani zile tuliacha UPENDO VIEW INN ikiwa ndio hoteli ya matawi ya juu Enzi hizo. Tafadhali nijuze, ni hoteli gani za kiwango standard ambazo mtalii wa ndani kama mimi naweza kufikia. Barabara ya lami kufika kasanga ni habari njema sana.
 
Mzindakaya amewekeza ana Ranch kubwa..pia ana Export nyama mkuu
Pinda amewekeza sana kwenye kilimo
Huku kuna fursa sana mkuu,kimyakimya
Kuna mabinti wametoka Kenya na wamewekeza huku kwenye ardhi,
Changamka mkuu kabla hapajakucha.


Sipendi uchawi, sitaki kununua radi ama kwenda kufanya shopping chini ya ziwa.
 
Huko kuna mheshimiwa mmoja alihamishiwa huko kikazi, wenyeji wakamtest na science yao, kila akilala ndani na mkewe kwa kufunga nyumba na makomeo yote, ahsubuhi anaamka akiwa kalala nje uwani mwa nyumba yao, yeye na mkewe halafu mke anakuta kanyolewa nywele zote za kwny kwny papuchi, ha ha ha
 
Huko kuna mheshimiwa mmoja alihamishiwa huko kikazi, wenyeji wakamtest na science yao, kila akilala ndani na mkewe kwa kufunga nyumba na makomeo yote, ahsubuhi anaamka akiwa kalala nje uwani mwa nyumba yao, yeye na mkewe halafu mke anakuta kanyolewa nywele zote za kwny kwny papuchi, ha ha ha

Kluger acha uzushi.......hahahahaaaa!
 
Ndugu wananchi...Hili eneo bado bikra...hebu fikiri vizuri kama ukiwa na kiwanja...eneo la hapa baada ya muda utakuwa utajiri kiasi gani?
img_0976-jpg.358620

Kweli aliye mlogeni kafa.
Yaani katoto ka kike toka Kenya kamiliki ardhi hapa na apige mpunga...na wewe unasema sijui mbaali sijui uchaawi sijui kuroogwa
AIBU
Basi mnunulie hata mwanao!!!!
#Kwani ukiwekeza ni lazima uishi hukoo?
 
Vipi Wasomali bado wapo? Miaka ya 80 palikuwa na sehemu ndogo sana ya barabara ya lami hapo mjini na kila hoteli ilikuwa ya Msomali. Nilipenda sana 'kalanga' (rosti ya nyama).
 
Vipi Wasomali bado wapo? Miaka ya 80 palikuwa na sehemu ndogo sana ya barabara ya lami hapo mjini na kila hoteli ilikuwa ya Msomali. Nilipenda sana 'kalanga' (rosti ya nyama).
Wapo na wamezaliana na wenyeji

dhuluma na uhasidi ndio chanzo cha umasikini
 
Back
Top Bottom