Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Duuu sio kwa mtazamo huo. Yani ww ni Unajua kukatisha watu tamaa
 
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Hizi ni kauli za watu wanaolelewa na mashemeji zao.sasa mkilalia sofa za shemeji zenu mnahisi na nyie mmeolewa kama dada zenu.Tembea nchi ndio utakapojua kua hii nchi ni full of fursa.Huna cha kuchangia kaa kimya!
 
Back
Top Bottom