Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Najiskia faraja sana kuishi Sumbawanga, tangu mwaka 2014 hadi leo uchawi nauskia tu, tangu majengo, nikahamia bangwe na sasa nipo kisiwani ila kijiwe baada ya kazi ni Johnkera
 
nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?

aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
eeeh michongo gan iyo fursa tupeane ....
 
kiwanja laki 3... huko hasara tu sio kwa kuwekeza..

tanzania sehem ya kuishi ni dar tu.. kwingine kusogeza siku tu au kutafuta riziki tu.. hata mkuu wa kaya anaishi posta hapo
 
kiwanja laki 3... huko hasara tu sio kwa kuwekeza..

tanzania sehem ya kuishi ni dar tu.. kwingine kusogeza siku tu au kutafuta riziki tu.. hata mkuu wa kaya anaishi posta hapo
Hakuna sehemu mbovu kuishi kwa watu wenye kipato cha kati kama dar....

Foleni ,vitu bei ghali ( huwezi kuweka akiba kirahisi ) ,dump place hadi magonjwa ni common na hali ya hewa mbaya...

Watu wenye akili zao wameshatoka huko baada ya kuona fursa mikoani..... Sasa kama kiwanja laki tatu LA kushangaza ni lipi kama mzunguko wa pesa ni mdogo

Unazalisha sumbawanga na kuuza iringa hata huko dar kwenye being nzuri ya bidhaa...

WAKE UP
 
Kwani hawa wenyeji wa huko waliohamishia makazi huku kwingine hawakuuona huo uzuri na urahisi wa maisha huko kwao au "ushatupiwa uchawi"wewe?!
 
eti mkoa wa sumbawanga. Aibu sana hata jina la mkoa ambao sumbawanga inapatikana hujui. Watu kama nyie ndio mnasema tanzania ni muungano wa tanganyika na zimbabwe
Unaufahamu Mkoa wa Kinondoni?
Ofcoz X-Wanga ipo Rukwani..na ndipo yalipo Makao makuu ya Nkoa.
Moshi yajulikana kuliko K'njaro...na wengi hamjui tofauti.
Songea kuna basi la kufikamo.
F.Y.I.
Pale Ubungo hutaona Basi la kwenda Rukwa au Ruvuma au K'njaro.
 
Back
Top Bottom