Nimeipenda sana Sumbawanga

Nimeipenda sana Sumbawanga

Kutoka mbeya hadi sumbawanga inachukua muda gani
 
Nimekaa hapo mjini Sumbawanga miaka ya tisini mwishoni, huwa kuna shida kubwa ya maji kiangazi, sijui hali ikoje kwa sasa!
 
Wachache watamuelewa huyu jamaa Ni wachache Sana hapa ambao wanatoa elimu Kama huu.
 
Wachache watamuelewa huyu jamaa Ni wachache Sana hapa ambao wanatoa elimu Kama huu.
 
Kutoka mbeya hadi sumbawanga inachukua muda gani
Zamani kabla ya Lami toka Tunduma mpa Sumbawanga ilikuwa ni safari ya masaa 3 mpaka 4 kwa basi la abiria wakati wa kiangazi, ila mvua ya maana ikipiga hata masaa 24 yanawaishia kwa road. Toka mbeya mpaka Tunduma ni saa moja au pungufu. Naambiwa kwa sasa kuna lami kwa ufadhili wa MCC, wale ambao wametukatia msaada.
 
nzalendo embu kua serious hapo kwenye viwanja.... Ni kweli... Au nje kabisa ya mji!?
 
Mleta mada usipende kuwatoa wenzako toba. Kama umekula hela za wafipa tafadhali warudishie wenyewe usitake kutuuza kwa kutuambia tuje huko kutafuta maisha wakati wafipa wenyewe kina Mzindakaya, Pinda wamekukimbia kwao. Huko noma aisee, watu wanafanya shopping chini ya ziwa Tanganyika na kwenda juani (sayari ya jua) kununua radi ya kuwapigia adhabu wenzao, si hatari hii? Baki peke yako huko na roho yako ngumu.
 
Huko nakukubali sana mkuu, yaani anzia pande za chanji, mazwi, bangwe, majengo, kantalamba, kizwite, izia hadi sumbawanga wenyeji raaaaaaaaaaaaha
 
Hats Mimi ntatidi swanga one day! 32 yes ago I was a kid in sumbawanga residing at regional block. Nilianza std one jangwani pr school. Mama angu akifundisha s/m sumbawanga. Nataka nitembelee kanisa katoliki nilisali sana pale. Ntapita shuleni kwangu, ntakwenda s/m sumbawanga waliposoma my elder sister, my late elder brother and my late mother. Ntakaa chini ntalia kwa uchungu sana kwa heshima yao. Ntapita katandala nasikia ni mji sasa hivi. Ntaibukia regional block halo nadhani furaha yangu itakuwa kubwa sana ntazunguka pale pots. King'ombe mbali ila kuna siku tulienda cheza karibia na king'ombe. Tutakaa chini ya mti mkubwa tunachezea Magari ya waya bila kujua kumbe kulikuwa na mtu kajinyonga ananing'inia. Tulitika bila kujua ila baada ya masaa mawili kuna mama alituona halo kwa mbali akaja kutuambia. Sikulala wiki nzima naogopa
 
Ntapita noremco Sijui km bado panaitwa hivyo, mpango kabambe wa maji. Kwa juu yupo Bainz, matajiri Wa swanga enzi hizo. Tukitaka suti viatu kwa Bhojak! Hahaaa. Izia kizwite, bangwe. Chanj, swanga wenyeji. Halafu watani zangu wafipa nataka migagi, nyanya poli na nyanya mpwimpwi. Hahaaa msininyime nswa.
 
Uko sahihi mimi nitakuja maana Kasanga Ziwani nakupenda kinoma eti
Kasanga ipi mkuu unaipenda MUZE, SONGAMBELE, LUSAMBO, KITIKA AU BIZMAK?
Hapo songambele ndio makaburi ya wazee wangu yalipo.
 
Hata unijie na karandinga, Dar sing'oki ng'oooooooooooooo. Raha za makange ya pweza na redbull baridi nani aziache?
Kama unapewa pesa ya mafuta ya alteza yako utang'okaje? Hata mim nisingeweza.
 
Tatizo ni mbali sana na Tanzania(Dar)
Ishara ya mtu mvivu, nimezaliwa osterbay police nilisoma s/m Kumbukumbu ipo kinondoni, baadae nilienda Rungwe SS, advance nilisoma Makongo kisha baadae nilisoma UDSM, Na kazi nimekuja huku, je mbali wewe unalelewa?
 
Kwahiyo hiyo kwako ndo sababu ya kukaa sumbawanga?
 
Back
Top Bottom