Mtandao ndiyo rafiki wa kweli no stressWasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
A56 bei gani?Nauza 420,000 Tu anaetaka.zimebaki chache
ikoje?Naam, inajitahidi niliwahi kuitumiaga
Charge inatunza siku nzimaikoje?
Charge(Inatunza chaji mda gani?)
Performance (haigandi?)
Network(mtandao upo stable?)
Sioni shida ya hizi simu kwanza zinatunza charge sanaA series ni tecno na infinix zilizochangamka tu.
Ndio ninayo tumia. Ipo vizuri sana.Mkuu umejaribu A55?
Ina ngapi mkuu ukiuziwa bila mawinga?Google pixel 7pro hutajuta kuwa nayo.
Mhh. Sidhani. Mimi natumia A55 na sio kwamba siwezi kununua ya ml. 3. Sinaga wenge la simu.A series simu za watu ambao hawawezi afford high end.