Nimeipenda hii ya Thailand

Nimeipenda hii ya Thailand

Chakula ya Obama.Jee tanzania hatuhitaji mahakama ya katiba?
 
Manyere Jackton nawewe ni yaleyale tu,unafiki ipo siku utawaumbua ninyi waandishi wa habari,hivi hujui kama wewe ni mtu muhimu sana Tanzania hii,CCM wameshaondoa suala la uwazi na uwajibikaji kwenye katiba,je we ulishapaza sauti kuwakemea CCM kama mwandishi wa habari?UKAWA wako wanapambana kuhakikisha tunapata katiba bora lakini wewe ni mmoja wa watu wanaowabeza UKAWA na kuwatetea MAGAMBA wasiotaka katiba yenye nguvu kwa mwananchi! HIVYO ONDOA UNAFIKI WAKO HUMU HUKU WAJIJUA WEWE SI MWANDISHI MPAMBANAJI WA KALAMU.
 
bora nguruwe pori kuliko wewe nguruwe unaye fugwa:embarassed2:
naona umehangaika na kuitwa nguruwe ila nashukuru kwa kujigundua kuwa wewe ni mpu-m-bav-u maana hujapinga, umekuwa mpu-mba-vu mungwana sana.
 
th14.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini
.
Mahakama ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"

Chanzo: cnn

Kaka naona unahasira Sana ya kunyimwa mkate kwa mchango uloutoa kuiingiza awamu hii madarakani.....

Pole sana.
 
Leo hii kwenye ukoo wa panya unapigana kunyofoa vipengele vya uwazi uadirifu na uwajibikaji kwenye katiba mpya!!
Wakisikia hili roho zinakereketa. Shame on you magamba!
 
Hukumsikia mwenyekiti wa ccm alivyokuwa anazindua bunge la katiba, pamoja na mambo mengine alikataa wazo la wabunge kutokuwa mawaziri maana katika wizi wa kitanzania kuwa waziri ndio channel iliyo bora. Ikiwa ni wazi kuwa professionalism ikiingia kwenye uwaziri wizi wa mali za umma waweza kupungua hivyo hivyo kupelekea kupunguza 'matajiri haramu' kama tulivyo sasa.
 
hajaondolewa madarakani nadhani kafikishwa katika mahakama ya katiba tu kujibu mashitaka yanayomkabili
 
naona umehangaika na kuitwa nguruwe ila nashukuru kwa kujigundua kuwa wewe ni mpu-m-bav-u maana hujapinga, umekuwa mpu-mba-vu mungwana sana.

nguruwe wa kufungwa huwa anapigwa rungu ninaona unataka kupigwa rungu siwezi kukupiga rungu nidhambi kubwa kuliko zote tafuta wanaofanyaga hizo dhambi akuge rungu.siwezi kukujibu tena unalazimisha mazoea samahani watafute ccm:embarassed2:
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini
.
Mahakama ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"

Chanzo: cnn

​
 
Is Thinawatra ousted from her position?

BANGKOK (AP) — Thailand's prime minister was ordered by a court to step down Wednesday in a divisive ruling that handed a victory to anti-government protesters who have staged six months of street protests — but does little to resolve the country's political crisis. The Constitutional Court found Prime Minister Yingluck Shinawatra guilty of abusing her power by transferring a senior civil servant in 2011 to another position. It ruled that the transfer was carried out to benefit her politically powerful family and, therefore, violated the constitution — an accusation she has denied.The ruling also forced out nine Cabinet members but left nearly two dozen other ministers in their posts, including Deputy Prime Minister Niwattumrong Boonsongpaisan, who was quickly appointed the new acting leader.

Source:
Court forces out Thai leader, part of her Cabinet
 
nguruwe wa kufungwa huwa anapigwa rungu ninaona unataka kupigwa rungu siwezi kukupiga rungu nidhambi kubwa kuliko zote tafuta wanaofanyaga hizo dhambi akuge rungu.siwezi kukujibu tena unalazimisha mazoea samahani watafute ccm:embarassed2:
wasalimie ukawa maana naona unafanania.
 
Back
Top Bottom