Nimeipenda hii ya Thailand

Nimeipenda hii ya Thailand

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,465
th14.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini
.
Mahakama ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"

Chanzo: cnn
 
Mahakaka ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"

Chanzo: cnn
naona hawa wameiga kwetu kwenye ile nanihii nanihiii richie mondo ya kule nanihiiii..........wasije nisikia
 
Sie tunaweza swaga tu wakati wenzetu wanatumia old school.
 
Nadhani ndani ya CHADEMA ndo kuna kuoeana madaraka kiajabu ajabu tu. ndo maana wamelazi ika kupangua baraza lao kivuli ili angalau kuleta uhai wa chama
 
Nadhani ndani ya CHADEMA ndo kuna kuoeana madaraka kiajabu ajabu tu. ndo maana wamelazi ika kupangua baraza lao kivuli ili angalau kuleta uhai wa chama

Kama umekiri kuwa wanajivua gamba sasa Je kwa ccm itakuwaje maana ni koo ya familia saba imejaa na jana bungeni imeongeza 2 kutoka koo za kitemi?
 
th14.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini
.
Mahakama ya katiba nchini thailand imemwondoa madarakani waziri mkuu -mwana mama-kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa ndugu zake. Hakika huu ni mfumo tunaopaswa kuuweka kwenye katiba yetu mpya. Hapa kwetu kuna watu wanapewa madaraka kiajabu ajabu kiasi cha watu kuhoji, "hata huyu??"

Chanzo: cnn
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.
 
hivi karibuni alichaguliwa kwa mara nyingine kuwa waziri mkuu lakini ni kama alikuwa anapingwa na baadhi ya wananchi kuendelea kuwa waziri mkuu
 
-Transparency,Accountability and independence of Judiciary !
 
Nadhani ndani ya CHADEMA ndo kuna kuoeana madaraka kiajabu ajabu tu. ndo maana wamelazi ika kupangua baraza lao kivuli ili angalau kuleta uhai wa chama

riz1.JPG
huyu naye yuko chadema kumbe..aisee kweli nyani haoni ----- lake
 
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.

hahaa muoga kupiga mistari kwa kiingereza huyu we muone hivo hivo ....huyo ukitaka kumuona nguli iwe kwa kiswahili weeeee anaangusha mivule kama hana akili vizuri
 
hahaa muoga kupiga mistari
kwa kiingereza huyu we muone hivo hivo ....huyo ukitaka kumuona nguli
iwe kwa kiswahili weeeee anaangusha mivule kama hana akili
vizuri

Astaghafulaaaaaaaah!! Mbavu zangu jamani

BACK TANGANYIKA
 
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.

kitu kime simama amekizuwia na mikono angalia vizuri kama huoni vaa miwani :embarassed2:
 
Back
Top Bottom